Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huwa siangalii movie😂
Wacha sasa nirudi rasmi kwenye ligi yetu ya uingereza.
Wacha sasa nirudi rasmi kwenye ligi yetu ya uingereza.
Angalia Movie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia Movie
ivory coast mbona mpira walikua wanacheza ball posseion sana shida walikua wanafungwa sana magoriwamefanya jitihada binafsi sana pamoja na timu yao kua na mpira wao wa papatu papatu toka mashindano yaananza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yalipaki Basi..Mkuu,nakumbuka sana Jana ulisema Nigeria mpewe kombe lenu mapema
Uishe saa Nane timu ziwe zote zinakiwasha, sasa mwingine Muda wote yuko Nyuma ya Mpira.Sijapenda mpira kuisha mapema hivi
Ilitakiwa iishe saa8 leo
Hawa wajinga walikua na bahat.Ivory Coast ni kama ilivyotokea Denmark kwenye Euro 1992
Jamaa hawakufuzu ghafla wakaitwa mashindanoni wiki kadhaa baada ya Yugoslavia kuzuiwa kushiriki michuano kwasababu za kisiasa.
Denmark kutoka kutokufuzu mpaka wakaenda kubeba ndoo!!
Si watu waliniuliza nani bingwa😂Nilikuambia.
Tokea mwanzo ulikuwa na gundu.
Ukasema Nigeria nikakwambia Cote D'Ivoire.
Dogo anatumia akili tu hamna kutumia Nguvu asili yake kama Vin ivi juniorOla AINA alichofanywa na Adingra leo hatomsahau huyo dogo.
😂😂Sisi wangoni kama wangoni tunayo furaha Alqaida kukandwa
Dogo yupo vzr sn.Ola AINA alichofanywa na Adingra leo hatomsahau huyo dogo.
True True....Si watu waliniuliza nani bingwa😂
Nikiipa timu ushindi ujue ni kinyume chake😂😂😂
Huwa siangalii movie[emoji23]
Wacha sasa nirudi rasmi kwenye ligi yetu ya uingereza.
Kweli mkuuHawa wajinga walikua na bahat.
Asee lkn huwez kusema hakustaili wamestaili wamecheza vzr Sana Asa leo na yote iyo ni upumbav wa Nigeria pia kurelax.
Kongolee AFCON champions [emoji1081]
Hawa matapeli hawakutakiwa kufika final😂😂
Hawa matapeli hawakutakiwa kufika final😂😂
Kocha Wa Nigeria Amewahi Kufanya Kazi na Jose Morinho, na Ni Maswahiba Wakubwa, Kwaiyo usisha gae kuona Kale ka Basi waliko Paki, Hizo shughuli anaziweza Morinho mwenyeweYalipaki Basi..