2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kimazabe mazabe kwa kuyatoa mataifa ya mpira kama Senegal na Mali?

Hawa jamaa walitambua makosa yao na wachezaji wakaacha pride zao ili kuvuja jasho kwaajili ya team yao, wala sio bahati.

Ukiangalia ule mpira aliopigiwa Senegal, Mali na huu aliochezewa Nigeria leo, utagundua kuwa hakuna mazabe hapo.
Leo ivory coast kapiga mpira mkubwa Sana, kamkamata Nigeria kila idara[emoji4]
 
Jmn mbona hawajashusha vile vipeperushi wakati wa kunyanyua kombe, eh pamepooza jmn bila kushushs vile vidude vileee
 
Comrade Bufa , turudi hapa.

Mimi baada ya ile game yao na Senegal walivyopiga mpira mkubwa, niliamini kabisa lazima kituo cha mwisho ni final na komba linabaki home.

Nigeria waliingia na matokeo mkononi, na baadhi ya wachezaji wao waliingiwa viburi na majivuno baada ya sifa mitandaoni ( Osmhen & Nwabal). View attachment 2901310

You got it right mkuu. After Congo kutolewa nilitaka Ivory Coast washinde, I'm happy for them.
 
Back
Top Bottom