Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Acha tu yn wangetukoma mbona.Ingekuwa ndo sisi hapo akina Mwamnyeto ndio wanapita kuvaa medali
Aisee kingewaka
Bia humo vilabuni zingeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu yn wangetukoma mbona.Ingekuwa ndo sisi hapo akina Mwamnyeto ndio wanapita kuvaa medali
Aisee kingewaka
Bia humo vilabuni zingeisha
Yn nilitaka kuuliza hilo swali kumbe n mzungu eh htr. Hv kibongo bongo inaruhusiwa kwel rais kua na mke amby sio mtz??uyu mzungu vipiiii na kombe letu sema Raisi sio mzalendo kabisa una oa Mzungu kweli
Leo ivory coast kapiga mpira mkubwa Sana, kamkamata Nigeria kila idara[emoji4]Kimazabe mazabe kwa kuyatoa mataifa ya mpira kama Senegal na Mali?
Hawa jamaa walitambua makosa yao na wachezaji wakaacha pride zao ili kuvuja jasho kwaajili ya team yao, wala sio bahati.
Ukiangalia ule mpira aliopigiwa Senegal, Mali na huu aliochezewa Nigeria leo, utagundua kuwa hakuna mazabe hapo.
Tz hata tucheze na mawenyinyi hamta mletewe walemavu hambebi kombe
Sjui ila kwa kiongoz Tena Raisi hiyo ni dalili yakutokuwa mzalendoYn nilitaka kuuliza hilo swali kumbe n mzungu eh htr. Hv kibongo bongo inaruhusiwa kwel rais kua na mke amby sio mtz??
Jamaa ni Striker haswaNashangaa humu hamumzungumzii mwamba Sebastian Haller[emoji2]
Tulivo na midomo na gubu mbona angewekewa kipingamiz kabla hta ya kuchaguliwa.Sjui ila kwa kiongoz Tena Raisi hiyo ni dalili yakutokuwa mzalendo
Tushamjadili sana yani huyo Africa hakuna foward wakushindanaye kabisaNashangaa humu hamumzungumzii mwamba Sebastian Haller[emoji2]
ilo ni li mdudu kabisa mamaye mechi na Congo limejitishwa Ndooo nyingi SanaNashangaa humu hamumzungumzii mwamba Sebastian Haller[emoji2]
ashapona huyooo Germany kwenye mifumo ya Afya wapo juu sana ata ommy dimpoz aliponea huko hukoHaller [emoji3590]
Mungu amponye maradhi yake
Comrade Bufa , turudi hapa.
Mimi baada ya ile game yao na Senegal walivyopiga mpira mkubwa, niliamini kabisa lazima kituo cha mwisho ni final na komba linabaki home.
Nigeria waliingia na matokeo mkononi, na baadhi ya wachezaji wao waliingiwa viburi na majivuno baada ya sifa mitandaoni ( Osmhen & Nwabal). View attachment 2901310
ashapona huyooo Germany kwenye mifumo ya Afya wapo juu sana ata ommy dimpoz aliponea huko huko
Anaumwa nn?Haller [emoji3590]
Mungu amponye maradhi yake