2025 uchaguzi ukiwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushinda uchaguzi

Hata jpm hakushinda. Alituzimia internet. Haijawahi tokea ktk bara la afrika.
Ndo ukweli hivi Samia ana ubavu wa kumshinda Lissu, Arusha, Kilimanjaro,Mwanza, Mbeya, Iringa, Bukoba, Dar
 
We jidanganye kama kula unapiga mwenyewe au unatujua wapiga kura wote kwa jinsi mama anavyoupiga mwingi kwanini tusimpigie kura,kwa kifupi hii ni mpaka 2030.
 
Ni lini sanduku la kura liliwahi kumua mshindi wa uchafuzi mkuu hapa bongolala.....
 
Umemdadavua vyema karata yake pekee ni wizi wa uchaguzi.

Ukweli huu kuwekwa wazi ni habari mbaya mno kwa wale vijana wake wa propaganda mitandaoni.

Hao kula yao inategemea kuonyesha mafanikio ya propaganda hizo per day per day.
Kwa Bara Samia kazi anayo, ATA wamama hawamkubali
 
2025 hata uchaguzi usipokuwa huru na haki, Rais Samia hawezi kushida uchaguzi na atapoteza 75 % ya majimbo ya Tanzania bara,
 
Wataka atoboe mara ngapi.Ameshika nafasi mbambali za kiserekali na sasa ni Rais.Hao unaowataja hata kura ya mwenyekiti wa mtaa,hawajapata.
Kwi kwi, Eti Samia amshinde Lissu, kwenye nini, speech, hoja, uelewa mpana wa Mambo, ushawishi,[emoji1]
 
We jidanganye kama kula unapiga mwenyewe au unatujua wapiga kura wote kwa jinsi mama anavyoupiga mwingi kwanini tusimpigie kura,kwa kifupi hii ni mpaka 2030.
[emoji1][emoji1]
 
Tangu kipindi cha mrema ccm hawapiti kwenye sanduku la kura.

Wananyang'anya tu
 
Nani ka kwambia kanda ya ziwa alikubalika...au hujui kanda ya ziwa ni wapi.

Mkoa kama mwanza na kagera hawakumkubali hata kidogo..hata chato alikataliwa ww unaonge nn hapa...

wakatumi aumafia wa koforce kukubalika. ungenambia Dodoma ningekuelewa.
Nimekuelewa mkuu, Sasa Samia izo mikoa atatoboa,?
 
Kwi kwi, Eti Samia amshinde Lissu, kwenye nini, speech, hoja, uelewa mpana wa Mambo, ushawishi,[emoji1]
.Samia ameshika nafasi mbali mbali za kiserekali,mpaka sasa ameshika nafasi ya juu kuliko zote,Amiri Jeshi Mkuu,Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania.Nani wa kumshinda,Samia,hakuna.
 
Kwa hiyo wewe ktk hali ya kawaida utaacha kumpigia kura kiongozi Samia halafu umpigie kura mwanaharakati wa SPACE? NO

Mara kumi tumpigie kura Samia nchi itabaki salama kuliko kuwapigia wapinzani wasio na mwelekeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…