Ohooooo....dharau hizi🤣🤣🤣Hii 1.5m ni $ au Tzs?
Unatosha kbsaa tena mipango unazuka kbsaa
Mm nililipwa laki sita take home niliishi vzr San kama upo Mbeya au mikoa ya Singda na nyanda za juu kusini
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa nyanda za juu upo sahihi mkuu ila kwa Singida hapana aisee maisha ya Singida ni shida kuna Tatizo kubwa la maji na chakula na ukame ni mkubwa sana kule ,nimeishi Singida miaka mingi sana ,mambo ya kula ugali wa mtama,mihogo na viaz vitamu kila siku yaliboa sana,kitu ambacho ahueni Singida ni mifugo kama mbuzi na kuku bei yake n ndogo sana lakini kwa maisha ya kawaida Singida ni gharama
Kama kuku na mbuzi bei rahisi, then maisha ya Singida ni mepeso
Kwa Serikali ni inategema huyo Mwalimu amefanya kazi miaka mingapi.Hivi unajua kuna walimu wanalipwa 2ml
Haitoshi. Subiri ila kazi ya milioni mbili kwa mwezi uliyomuomba braza wako akutafutie ujishikize kidogo.Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.
Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, pesa uipatayo kwa jasho lako wewe unapaswa uipangilie utaitumiaje, ili itoshe wewe mwenyewe kuna vitu ujikataze na kuna vitu ujikubali na ujipangie mwenyewe malengo yako ndio kanuni kubwa katika maisha.Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.
Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
Uliishi Singida ipi mzee? Labda hapo town ambapo hamlimi chochote ila ndani ndani huko Mkalama vyakula vya kumwaga sana. Karanga, viazi vitamu, alizeti, mahindi, mtama n.k vyote vinalimwa!Kwa nyanda za juu upo sahihi mkuu ila kwa Singida hapana aisee maisha ya Singida ni shida kuna Tatizo kubwa la maji na chakula na ukame ni mkubwa sana kule ,nimeishi Singida miaka mingi sana ,mambo ya kula ugali wa mtama,mihogo na viaz vitamu kila siku yaliboa sana,kitu ambacho ahueni Singida ni mifugo kama mbuzi na kuku bei yake n ndogo sana lakini kwa maisha ya kawaida Singida ni gharama
Hiyo mwalimu anaisotea 4yrsYao ni 750,000/- bila cheo current
Vp kada nyingne wanalipw Tshs ngap , watu wa mifugo , kilimo n.k
Hiyo mwalimu anaisotea 4yrs
Kada nyingine unakuna kuna wana allowance mbali mbali tofauti na walimu ambao kupata hela ni mwezi to mwezi
Unasave vizuri tu, pamoja na vyakula kupanda beiKama una familia na unalipa zile bills mfano kodi chakula malazi kila kitu kinatoka hapo kwenye uo mshahara basi hamuna kitu utasave
Mzeebaba una save laki na 30 tu kwa mwezi 😳😳Unasave vizuri tu, pamoja na vyakula kupanda bei
Mchele 90k
Unga 60k
Maharage 20k
Nyama 20k
Umeme 30k
Gesi 50k
Mengineyo 200k
Kodi 150k
Jumla 620
Baki 130k
Singida ni pa hovyo sana mkuu ila wanyaturu wa kike ni watamu sana nitarudi siku moja nimesoma TIA pale nimechakata sana mbususu za kinyaturuUmetumwa uje uichafue Singida [emoji276]
Familia ya watu wangapi hiyo wanayokula mchele kilo 2 na unga kilo 1.5 kwa siku?Tujaribu hapa mwenye familia saiz ya kazi
Mchele kg2 Tshs 7000
Unga kg1½. Tshs 3000
Mboga na viungo 10000
Kodi na umeme. 5000
Jumla 25000/-
25000 x 30 = 750,000/-
Ukiishi maisha hayo utakosa nauli tuu ya kwend kazin ila hayo ni matumiz makubwa kwa siku nimeweka maximum ila kikawaid matumiz huw 10,000/- had 15000// perday ni saw 450000/- chakula tuu baki 300,000/-