750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

JamiiForums ni mtandao wa kijamii ina jamii zote wapo wenye zaidi ya 1 billion hapa. Angalia kama kule tweeter Elon musk anavyo comment, kabla hajawa CEO wa tweeter mpaka amekuwa na bado yupo vilevile. Hela isimfanye mtu kujitenga na jamii wakati jamii ndio imemfanya kupata hela hio.
Tatizo watu wana hisia kuwa watu wote humu ni masikini au JF ni ya watu wenye maisha magumu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila haya maishaaa unaweza lipwa hata 1.5 mil lakini bado ukashangaa pesa hujuii inaenda wapi hasa ukiwa na familiaa **** Hela ya budget na hela nje ya budget hizo ndo hatarii yaniii. So kutosha au kuto kutosha inategemeana na bajeti yako hasa kwenye matumizi ambayo yanakuwa nje ya Bajeti hapo ndo patamu kama Kuhongaa..kusaidia ndugu...kuchangia sherehe..kununua mavazi na kutumia kwenye starehe hapo ndo wengi huwa tunapoteza helaa na wala sio kwenye chakula sijui..kodi wala umeme.
 
Wakuu nilikuwa nauliza tu kama 750k ni takehome inayoweza kumfanya mtu aishi kidogo standard life.

Maana isikute nadharau kumbe naweza kufanya kitu.
Hapo hata iphone unanunua,unajenga,na Dem mkali unapata,
Ila itqbidi ujibane sana,na kama unaishi Dodoma,Arusha,huko ni maumivu,
Kwa pesa hiyo,harsfu unaishi Songwe,au Kahama,maisha ni mteremko,
Chumba Cha laki hapa Dar,Kahama ni elfu 40 tu.
 
Mkuu hela inatosha mwez wa kwanza tuu baada ya hapo hela haitoshi tena.
Hiyo hela ni nying sana kwa maisha yetu ya kawaida. Hiyo hela ukiwa na nidhamu nayo unakula na akiba unaweka.
Wapo watu wanalipwa 200k. 300k na wanaishi sasa ukitaka kujua wanaishije ingia huko
 
Ishi kulingana na kipato chako mkuu.

Ukipata elfu 50 kwa mwezi ishi kielfu 50 ,ukipata 750k pm ishi hivyo hivyo....Hela huwa haitoshagi hata ulipwe 10m per month maana matumizi nayo yataongezeka ,cha msingi ni kuishi kulingana na kipato unachoingiza.
 
Back
Top Bottom