750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

750k(take home) ni mshahara unaweza kumfanya mtu aishi kidogo bila wasi hapa Bongo?

Mkuu humu kuna mafogo hatari.

Uzuri wa humu muosha magari anamtukana boss wake, muuza vitunguu sokoni anavimba kuwa anafanya kazi UN Geneva.

Uamuzi ni wako uwe nani humu.

#fakeituntillyoumakeit#
Wewe umeamua kua nani mkuu??

Binafsi nabadilika kulingana na mada husika, kwa hapa hata mimi take home ni $5000 per month.
 
Kuna watu hawa-save hata mia na wanapokea kila mwezi.
Akipokea tu mshahara anaenda bar ya karibu anamwagilia moyo tu. Siku 4 tu mshahara kwisha, akili inarudi mahali pake maisha yanaendelea.
Hiyo ndio monthly routine.
Kuna mtu anasoma ujumbe huu anatabasamu tu anatamani ku-like anajisemea maisha ndio hayahaya.
Kwa shida gani ufe halafu huku nyuma watu wanagombania mali zako!
Haha
Kuna wale wa kujenga ni uoga wa maisha

Hivi ni kweli? Au ni mtu tu anajifariji baada ya kujijua hana pesa za kutosha 🤣
 
Kweli,kwa morogoro,mwanza,mbeya,iringa,katavi,kahama na hata dar hiyo pesa inakusongesha vizuri kabisa,ila ukipita kwenye kimji kama cha arusha usishuke kwenye basi,usile hata mshikaki,utakuwa umeilaani hela yako,itaisha ndani ya siku nne,arusha,moshi,bagamoyo,kinondoni() hivi vi mji vina majini hela
Hata mwanza pamekaa kinafiki sana
 
Kabisa mkuu. Kuna mdada humu japo sio mtu wa kucomment na kuchangia sana ila ukisoma comment zake unaweza kuhisi ni jobless anayetafuta kazi kumbe ni meneja mradi wa NGO moja ya kimataifa inayofanya kazi hapa TZ, na kala shavu kufanya kazi kwenye NGO nyingine kubwa zaidi kuanzia february nje ya TZ lakini hapa hapa Afrika.
Mshahara wake umeshiba karibia na wa mbunge lakini ukimkuta humu huwezi kufikiria.
Humu kuna watu wa kada mbalimbali lakini sote tunajimwambafy.
Wewe dada ukipita hapa nakusalimu kwa herufi kubwa.
Bro, mm nakuchukualiaga ww kama role model kwny mafankio. Kwa kazi unayofanya still una appreciate mambo ya kuajiriwa??

If u were given a chance to choose btn ur current job na kuajiriwa(ajira yenye salary kuanzia 1million), utachagua kipi?
 
Mkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.
Unajua nini, hata ukipata laki kwa mweiz utaishii tu. Matumizi yanategemea na kipato. Hapo utakuta una matumizi mengi yasiyo ya lazima..kwa mfano watu wamekuomba vocha, msiba umetokea umechanga 50,000 wakati wengine wanachanga 5000...unatembelea gari wakati wengine ni daladala...so kila mtu anaishi kwa urefu wa kamba yake.
 
Kuna watu hawa-save hata mia na wanapokea kila mwezi.
Akipokea tu mshahara anaenda bar ya karibu anamwagilia moyo tu. Siku 4 tu mshahara kwisha, akili inarudi mahali pake maisha yanaendelea.
Hiyo ndio monthly routine.
Kuna mtu anasoma ujumbe huu anatabasamu tu anatamani ku-like anajisemea maisha ndio hayahaya.
Kwa shida gani ufe halafu huku nyuma watu wanagombania mali zako!
Safi sana

Mkuu Nitarudi @Pale Rau madukani
 
..hiyo ukifanyia tumbo tu inatosha...lakini ukiweka starehe na huduma nyingine za jamaii..kama michango ya harusi...misiba...kupiga milupo ..bar n.k haitoshi..hapo hujaongelea shule watoto .ambao inabidi uwapeleke kayumba..au mke kuvaa na kwenda saloon....ambapo inabidi usahau..kama una mke ajitegemee au adange...asuke twende kilioni kwa jirani..na avae marapurapu/mitumba ya bei chee....maisha bongo yapo juu sababu ya kuigana...lakini mikoani unafanya yote ...na milupo unapiga kwa huo mpunga...jipange sana.au hama mji....ila si mwanza na arusha..huko ni zaidi ya bongo ..
 
Bro, mm nakuchukualiaga ww kama role model kwny mafankio. Kwa kazi unayofanya still una appreciate mambo ya kuajiriwa??

If u were given a chance to choose btn ur current job na kuajiriwa(ajira yenye salary kuanzia 1million), utachagua kipi?
My current job mkuu maana mwaka juzi nmekataa ajira yenye kukaribia huo mshahara.
Mkuu hata yeye anafanya kazi halafu anafanya ninachofanya ndicho kilichotufanya tufahamiane na kuwa marafiki wakubwa mkuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila haya maishaaa unaweza lipwa hata 1.5 mil lakini bado ukashangaa pesa hujuii inaenda wapi hasa ukiwa na familiaa **** Hela ya budget na hela nje ya budget hizo ndo hatarii yaniii. So kutosha au kuto kutosha inategemeana na bajeti yako hasa kwenye matumizi ambayo yanakuwa nje ya Bajeti hapo ndo patamu kama Kuhongaa..kusaidia ndugu...kuchangia sherehe.. kununua mavazi na kutumia kwenye starehe hapo ndo wengi huwa tunapoteza helaa na wala sio kwenye chakula sijui..kodi wala umeme.
Mavazi usiweke kwenye ziada chifu ni moja ya yale mahitaji 3 muhimu ya binadamu

Chakula, malazi na mavazi
 
Mavazi usiweke kwenye ziada chifu ni moja ya yale mahitaji 3 muhimu ya binadamu

Chakula, malazi na mavazi
Ndo kila mwezi upo dukani mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani usione kiatu kimeletwa mbele yako tayari ushaingia mfukoni wew hujiulizi why matajiri unakuta ana raba moja na jinsi flani mwanzo mwishoo
 
Back
Top Bottom