Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Nachukua notes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umeamua kua nani mkuu??
Binafsi nabadilika kulingana na mada husika, kwa hapa hata mimi take home ni $5000 per month.
Mbona Arusha sioni kama maisha ni gharama?[emoji848],any way acha tuishiArusha aisee..
Kuna jamaa nafanya nae kazi yy huwa anasema hukuja kuipendezesha dunia kwa kujenga yy kula bata tuu akizishikaHaha
Kuna wale wa kujenga ni uoga wa maisha
Hivi ni kweli? Au ni mtu tu anajifariji baada ya kujijua hana pesa za kutosha [emoji1787]
Ukiingiza kwenye anasa ni pesa kidogo sana iyo,pesa ni matumizi yako tu hakuna pesa nyingi isioisha kwenye matumiziHumu ndani kila mtu boss! Yaani laki saba iwe mkononi isikutosshe kwa mwezi? Labda uwe unaishi kama Drake
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Jf kila mtu bilioneaMkuu nikiandika ukweli hapa nitaonekana najisifu lakini ukweli hio 1.5 nusu mwezi labda.
Uneshaambiwa jf kila mtu anajichagulia kuwa nanAcha chai bwashehe
Hakika umenena!Mkuu humu kuna mafogo hatari.
Uzuri wa humu muosha magari anamtukana boss wake, muuza vitunguu sokoni anavimba kuwa anafanya kazi UN Geneva.
Uamuzi ni wako uwe nani humu.
#fakeituntillyoumakeit#
Ni Dar pekee maji huuzwa bei ndogo na ndo maana Jambo kashindwa onekana huku.Kweli siku hizi mwanza maisha yanakuwa expensive sana, kuanzia nyumba za kupanga bei kubwa kama za Dar tuu ingawa wenye nyumba wanajenga nyumba nzuri sana, misosi bei kubwa.
Maji ya kunywa yanayouzwa 600 Dar kwa mwanza ni 1000. Cha urahisi kule ni usafiri tuu
HESLEB114k
Shida tena boss?futa hii comment itakuletea shida
Jamii forum jaman kama hadithi kumbe ndio maisha yenyeweUkiingiza kwenye anasa ni pesa kidogo sana iyo,pesa ni matumizi yako tu hakuna pesa nyingi isioisha kwenye matumizi
Mimi nmewahi kutumia 17M ndani ya masaa 3 tu,Ingia Hardware uone