Nyalumana originally
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 439
- 1,405
Achana na kuwa na wazazi tu bro;Naona hii hoja tumshirikishe Waziri Dorothy Gwajima. Inakuwaje mwanamke kufikiria apate mwanamme ili ampe majukumu ya matatizo yake, kwani hawa wanawake hawana wazazi? Kwa kwei wanawake wa kibongo mnaboa kishenzi mpaka wanaume wanawakimbia.
Kwa kweli wanaboa na sijawahi msalimia manamke bila kupigwa mzinga hapa Bongo.Achana na kuwa na wazazi tu bro;Wapo wengine wameolewa na waume safi wanawapa kila kitu but bado wanajishusha kwa wanaume wengine na kuanza vizinga ukisikia mke wa mtu analiwa ujue sababu ni hii tunawala kwa sababu ya hasira ya kuombwa ofa ofa zisizo rasmi mfano wife wa mtu anakuomba umuunge kifurushi cha buku,mara naomba unilipie nauli kwenye daladala nauli yenyewe 500,akikukuta supermarket utasikia jamani shemeji wanao unawanunulia zawadi gani leo?So chanzo cha kuliwa kinaanzia huku kwenye ombaomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
Mume yeyote ni mkamilifu, ana wajibu na yupo tayari kwa safari ya maisha. Safari hiyo hufanikishwa au kuvurugwa na mke.Kama hatujui mume mwema yukoje,usituletee habari za mke mwema yukoje
kuomba kwa mwanamke ni nature yake ...sio lazima awe joblessMnafata pisi kali ambazo ni jobless na wadangaji halafu mnakuja kulalamika as if wanaombaga figo
Vicoba chaka tuVikaoba inawatesa sana! Na wataliwa sana...
Hii dhana ya kuhudumiwa sijui inatoka wapi. Unakuta una kipato kizuri lakini unampiga mumeo au mpenzi wako vizinga etc . Tusipobadilka tutajenga kizazi cha ajabu kabisa. Tujifunze kuchangia ustawi wa familia kwa pamoja.Hii dhana ya kumuhudumia mtu mzima mwenye akili na nguvu zake katika set up yoyote ile, iwe ndoa au mahusiano ndiyo aiingii akilini. Kwanini ahudumiwe, awe mke au mchepuko. Ndiyo mentality ya kuwa omba omba, mtegemezi na kupe. Mabepari hatutaki.
Wengibe tutoe kwenye hiyo 100%. Tuko tunaojielewa. Siwezi kutoa papuchi sababu umenipa hela, hapo nitakua najiuza.Kwa nini unasema 80% ?
Actually ni 100%
Kina dada wanatia aibu, wao kuomba ni jadi sasa hivi.
Kutoa papuchi kwa ajili ya huduma si tatizo kabisa sasa hivi.
Wanaume mpaka tunaogopa kutania kina dada, ukimkoleza tu unaletewa papuchi unakotaka, kinachofuata ni matatizo lukuki, mara kodi ya nyumba mara chakula mara anauguliwa mara hela ya wine.
Jana tu kabibi kangu ka siku nyingi na tuliachana sababu ya kubomu kwingi, ati kaniambia anani missi na hapo hapo ana shida ya laki 2.
Nikamwambia zikinitembelea nitamjulisha!
Sasa upange nyumba ya bei yote hiyo ilihali huna kipato. Jirani na nyumbani kwangu kuna apartment zinapangishwa, kuna wadada kama 2 wamepangishiwa hapo. Wanapewa kila kitu nz madanga yao lakini na wenyewe wana vimwaume vyao pembeni.Wanaanzaga, nikuambie kitu
Bora uwe kahaba kuliko kutumia neno mapenzi, huu ni ulaghai. Ulaya makahaba wanafanya kama biashara huko kwetu hawataki kujulikana wanatumia mapenzi kama gia ya kuchunaWapo wanaopenda tunawaonaga kule. Pia udangaji ni dunia nzima sasa huyu mtoa mada anaongea as if wanawake wa kiTz wana tabia special kulinganisha na wengine.