A.Lusekelo( Mzee wa Upako, Pombe Si DHAMBI, ni kosa.

Tatizo watu siku hizi watu wanaabudu manabii na mitume wa mchongo badala ya kumuabudu Mungu
Mungu amewaruhusu Ili tuchanganue, anataka tupambane Hasa kuingia heaven kupitia njia nyembamba.
 
Divai Si pombe.

Divai waliyokunywa haikuchachuliwa.

Hawakulewa. Nenda Israel hata Leo, divai hiyo utaikuta.

Kimbia haraka manabii fake,

Wapo manabii wa Kweli nenda kwao.
Divai Kingereza ni Wine..
Haya tuongee kuhusu Hilo Mkuu
 
Unywaji wa pombe unatengeza addiction.

Nimewahi shuhudia mtu mzima alipolewa akaanza kumtaka kimapenzi dadake.

Acha pombe, hutatoboa Mbinguni
 
Divai sio pombe?
Msilewe Kwa mvinyo ambamo Kuna ufisadi, Bali mjazwe Roho (Waefeso 5:18).

Soma na uelewe, BIBLIA inasomwa Kwa ujumla kutafuta maana, Si kujikita kwenye FUNGU Moja na kuweka judgement.
 
Wewe unakunywa pombe?
Hapana Hata tone lake Siligusi, Japo zaman nilikuwa nakunywa (Nimekunywa kama miaka saba) Ila niliona ni kuchafua tu mwili wangu..

Na haina faida yoyote kwangu..
Unajua watu tunafanya vitu vile tu vyenye faida!..
Pombe haitanifaa kitu katika Safari ya Kiroho zaidi ya kuharibu Vyombo vya mwili wangu ambavyo naamini Ni vitukufu
 
Unatumia version gani mbona sijaona maneno yanayosema wakati ambapo watu wameingiwa na kileo.?
 
Mungu aliviumba vyote Ili vitumike Kwa kusudi jema.

Unywaji wa pombe na addiction yake Ina matokeo mabaya.

Mfano FISI aliumbwa na Mungu, lakini Si Kwa matumizi ya CHAKULA, labda kama huna choice na ndo chakula kilichopo.

BIBLIA tuisome Kwa upana na kuielewa.
 
Msilewe Kwa mvinyo ambamo Kuna ufisadi, Bali mjazwe Roho (Waefeso 5:18).

Soma na uelewe, BIBLIA inasomwa Kwa ujumla kutafuta maana, Si kujikita kwenye FUNGU Moja na kuweka judgement.
1 Timotheo 3:8

Vivyo hivyo mashemasi na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu;..

Likewise must the deacons be grave, not doubletongued, not given to much wine, not greedy of filthy lucre;


Kwahyo wasitumie sana yaani wasiwe walevi ila wanapiga kama kawa
 
Divai ni wine na wine ina kilevi ndani yake.

Kapitie upya maduhuli yako, sema kiwango cha kilevi ndani ya divai sio kikubwa kwa divai ambayo haijakaa muda mrefu.
zipo divai zisizo na kilevi
 
Ndo nasema, matumizi ya pombe yanaupa mwili nguvu kushinda Roho, mbeleni itatengezwa addiction ambayo itamfanya mtu kuwa mtumwa wa pombe.

Ndipo Waefeso 5:18 na 1 Korinthians 6:9-11 unakataza pombe maana kwenye mvinyo mna UFISADI.
 
Naelewa unachosema Mkuu lakini Yesu alikuja na Alikunywa Wine ila hakulewa
 
Ndo nasema, matumizi ya pombe yanaupa mwili nguvu kushinda Roho, mbeleni itatengezwa addiction ambayo itamfanya mtu kuwa mtumwa wa pombe.

Ndipo Waefeso 5:18 na 1 Korinthians 6:9-11 unakataza pombe maana kwenye mvinyo mna UFISADI.
Mkuu Mi nakuelewa sana Kwa sababu hakuna mtu anayeenda kwenye ulimwengu wa roho akiwa amelewa hata kidogo na ndo maana hata waislamu mtu aliyekunywa pombe haruhusiwi kuswali wala kuingia msikitini mpaka pombe iishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…