Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Mwambie kama anataka kutoa kimaisha yeye na familia yake abaki huko Private. Ila kama ameamua kuwa na maisha magumu na kuua carier yake aje Serikalini.Wife kapata kazi serikalini huko,mshahara ni TGS D ambayo ni sawa na laki 7.6, kwa sasa anafanya kazi private sector ambako mshahara ni 1.6m gross.
Kampuni anayofanyia ina pressure za hapa na pale ila kuna a lot of incentives kama bima ya afya ya Jubilee,holidays allowance na nyingine nyingi.
So right now yuko dilemma, aache hapo private au aende government?