Lile ni jengo la serikali?Dahh πππ.....
Yote haya kuwa na serikali ya wala rushwa, wasiojali maendeleo ya nchi, Pamoja na miundombinu( vifaa vya uokoaji) kuwa mibovu kila idara.
Tunamshukuru mama kwa kufanikisha hili
Vile vya YAPI issue inaweza kuwa operators hawapo site ila mchina wa BRT yupo active sites na vifaa vyote yanavyo kwa quick responseWala huitaji makampuni mengi, vifaa alivyonanyo Yapi Markez hapo maeneo ya ngozi nakuhakikishia ndani ya 10 hrs hicho kifusi ungekitafuta, ni suala la kufunga njia Kwa magari mengine Ili dump truck zifanye KAZI yake Tena kifusi Wala hupeleki mbali ni hapo tu jangwani
Unaweza mkuu.
Kuna watu wapo brave, believe me.
Unakumbuka tukio la ndege ilioanguka na kuua watu wote...hadi video zilirushwa. Na kuna watu walifanya mawasiliano na watu wao na lilikuwa tukio la fasta.
Nishasahau ilikuwa nchi gani. Lkn ndege ilikuwa Boeing
Afungwe kwa kosa lipi mkuu?Lile ni jengo la serikali?
Mimi nadhani tujenge hoja against any form ya kukosa uwajibikaji kwani mwenye jengo anajulikana
Na ni lazima afungwe
HahahaaaaaAfungwe kwa kosa lipi mkuu?
Kisiasa tu hiyo, kuongeza jam tu road na mamisafara yao hayo yasienda kutoa msaada zaidi ya propagandaInasikitisha, kwa hio ni kisiasa zaidi.
Nguvu gani alizonazo huyo Mungu?Mungu ananguvu kuliko uhai huu wa mpito. Jikabidhi kwa Mungu, ujapokufa utaishi tena. Hii ndio kauli mbiu yangu katika hali zote.
Nashangaa wameshindwa nini kuwatia hawa jamaa wanajenga barabara ya Kimara-Ubungo walete hayo makatapila yap yasaidie kuokoa watu! Pale Bandarini hawana hizi katapila kweli? Hapo ndipo tujue response kwenye disaster iko hivyo sana!Hapo cha kufanya ni kuitisha kampuni zote za ujenzi, mwenye excavator alete, mwenye caterpillar aje nalo, mwenye malori aje...
Nadhani kazi ingalifanyika kwa uharaka na umakini, waitwe engineers n.k
Mamanyoko wewe!Nguvu gani alizonazo huyo Mungu?
Mungu huyo Kashindwa kuzuia jengo hilo lisianguke, Halafu unasema ana nguvu!!!
You man?
Nincompoop.Mamanyoko wewe!
Unq akili nyingi sana we jamaa, hata me nawashangaa watu wanatoa pole za majonzi wakati huyo huenda ni chalii yuko zake mbeya amekaa anakula kitimoto huku anajicomentisha mtandaoniIyo comment ya attention seeker iyo.