TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Lile ni jengo la serikali?Dahh ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜.....
Yote haya kuwa na serikali ya wala rushwa, wasiojali maendeleo ya nchi, Pamoja na miundombinu( vifaa vya uokoaji) kuwa mibovu kila idara.
Mimi nadhani tujenge hoja against any form ya kukosa uwajibikaji kwani mwenye jengo anajulikana
Na ni lazima afungwe