Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

Dahh 😭😭😭.....
Yote haya kuwa na serikali ya wala rushwa, wasiojali maendeleo ya nchi, Pamoja na miundombinu( vifaa vya uokoaji) kuwa mibovu kila idara.
Lile ni jengo la serikali?

Mimi nadhani tujenge hoja against any form ya kukosa uwajibikaji kwani mwenye jengo anajulikana

Na ni lazima afungwe
 
Wala huitaji makampuni mengi, vifaa alivyonanyo Yapi Markez hapo maeneo ya ngozi nakuhakikishia ndani ya 10 hrs hicho kifusi ungekitafuta, ni suala la kufunga njia Kwa magari mengine Ili dump truck zifanye KAZI yake Tena kifusi Wala hupeleki mbali ni hapo tu jangwani
Vile vya YAPI issue inaweza kuwa operators hawapo site ila mchina wa BRT yupo active sites na vifaa vyote yanavyo kwa quick response
 
Aisee, Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi InshaAllah.

Michoro itafutwe, wajaribu kulocate points kadhaa kuelekea chini haraka, kupitia mawasiliano ya simu na wahanga huko chini waanze kudrill na walioko chini watakuwa wanatoa signal kupitia simu zao kama ni the right place, unapeleka air blowers kama za hawa small scale miners unaanza kupeleka hewa haraka kwanza watu wapate hewa, kwingine unapeleka pipe na kuanza kupeleka maji kidogokidogo kadili yanapohitajika waweke kwenye zile chupa za maji kwa ajili ya survival yao.
 
Unaweza mkuu.
Kuna watu wapo brave, believe me.
Unakumbuka tukio la ndege ilioanguka na kuua watu wote...hadi video zilirushwa. Na kuna watu walifanya mawasiliano na watu wao na lilikuwa tukio la fasta.
Nishasahau ilikuwa nchi gani. Lkn ndege ilikuwa Boeing
 
Kuna mpuuzii Lucasvyuko wapi aandike upuzibwake kwenye vitu seyious kama hilo....utasikia wanabubujikwa machozi furaha kupata kuokolewa na Mama Samia....chaguo.la Mungu yaani upupuui
 
Mungu ananguvu kuliko uhai huu wa mpito. Jikabidhi kwa Mungu, ujapokufa utaishi tena. Hii ndio kauli mbiu yangu katika hali zote.
Nguvu gani alizonazo huyo Mungu?

Mungu huyo Kashindwa kuzuia jengo hilo lisianguke, Halafu unasema ana nguvu!!!

You man?
 
Hapo cha kufanya ni kuitisha kampuni zote za ujenzi, mwenye excavator alete, mwenye caterpillar aje nalo, mwenye malori aje...

Nadhani kazi ingalifanyika kwa uharaka na umakini, waitwe engineers n.k
Nashangaa wameshindwa nini kuwatia hawa jamaa wanajenga barabara ya Kimara-Ubungo walete hayo makatapila yap yasaidie kuokoa watu! Pale Bandarini hawana hizi katapila kweli? Hapo ndipo tujue response kwenye disaster iko hivyo sana!
 
Mungu awasaidie.kuzaliwa Nchi za viongozi watumia hovyo Kodi za wananchi ni hatari sana.
 
Iyo comment ya attention seeker iyo.
Unq akili nyingi sana we jamaa, hata me nawashangaa watu wanatoa pole za majonzi wakati huyo huenda ni chalii yuko zake mbeya amekaa anakula kitimoto huku anajicomentisha mtandaoni
 
Back
Top Bottom