Abdul mwana wa Rais Samia yuko nchini India kwenye msafara wa Rais

Huo ni wivu wa kipuuzi sana kwani Samia kuwa rais amekatazwa kusafiri na watoto wake? ,Mtu akiwa rais ana haki ya kuishi na kusafiri na familia yake kokote aendako kama ambavyo hata wewe unasafiri na watoto wako na hakuna anaekuuliza
 
Naona Abdul yupo na kaunda suti nyeusi atakuwa mstari wa mbele tiss huyo.
 
Acheni wivu bhana sasa kama mama yangu ni raisi wa nchi ndio nisiende kumpongeza kwenye mahafali yake kwa kupewa PhD? Huyo ni Raisi wa nchi lakini haiondoi ukweli kuwa ni mama kwa watoto wake. Na watoto wana haki ya kuambatana na mama yao hasa kuhusu personal achievement. Hiko cheti cha PhD hakijaandikwa Tz kimeandikwa Samia Suluhu. Hebu acheni ufala
 
Huwezi kisikia Maria Obama anajihusisha kwenye ufasadi kama hawa maharamia wa kiafrika ndo maana tunauliza maswali Bwege wewe.
 
NEPOTISM.

Huenda na yeye anamtengeneza riziWANI wake.
 
Duuuuh, wivu huu Sasa.

Si mama yake huyo?

Kuna ubaya gani kuwa na familia karibu?
 
Haujaniconvince mkuu. Huu utoporo utaukuta Africa. Acha kuwa mtoto wa Rais nchi zinazojitambua hata ukienda interview ya kazi kuna kipengele kama kuna relationship na mfanyakazi yeyote kwenye organization . Huyo Abdul akienda Uganda nani anafanya checking ya hiyo conflict. Viongozi wa kiafrika wanakiwa affected na umasikini waliopitia katika life time ndo maana hawarudhiki.
 
Kwanini kwenye Delegation ya Maza asimchukue Biswalo Mganga ili wapitilize mpaka China ili akamuoneshe ile Akaunti ya fedha za Plea bargain zilikofichwa.
Atashukuriwa kwani walao atakuwa kuonyesha kuwa anatujali Sisi makapuku
 
Kwanini kwenye Delegation ya Maza asimchukue Biswalo Mganga ili wapitilize mpaka China ili akamuoneshe ile Akaunti ya fedha za Plea bargain zilikofichwa.
Dunia sasa hivi ipo kidigitali zaidi. Siyo lazima uende benki ndipo upate taarifa ya akaunti yako au ufanye transactions.
Twahitaji kuwabana wanasiasa kwa hoja zenye mantiki na mashiko kuendana na wakati.
Ni ukweli usiopingika kwamba taarifa za akaunti hizo zipo serikalini.
Hata hivyo, utaratibu wa plea bargaining ulifanywa na serikali halali ambayo waliopo sasa hivi ni wale wale, vinginevyo wawe wametofautiana na hivyo kuwajibishana kutokana na nafasi zao kwa wakati uliopita.
 
Najua kuwa Dunia iko Kidigitali ila nilikuwa nafikisha Point.
 
HII INAITWA , MTAJIJU , MLISEMA. JPM ANAONGOZA NCHI VIBAYA , SASS MZEE WA WATU ALIYEKUWA VERY TOUCHING KUANZIA LEVEL ZA CHINI HAYUPO , NOWW TATIZO HILOOOOOO YAMERUUUUDIII YALE YALEEEEE. TUNGOJEE , MLIMA KILIMANJARO KUPIGWA MNADA , MAANA. MADINI. HATUNAYO TENA , MAFUTA NA GESI HATUNA TUSHAUZA KWA BEI CHEEE. KULE MTWARA , BANDARI HIYOOOOO. ISHAENDAAA KWA BEI CHEEEEEEEEE UARABUNIII ......NOW. MLIMA. KILIMANJARO HUOOOOO UNAELEKEAAAA. KUUUZWA
 
Kwani Abdul unafahamu shughuli zake?

Toka lini dunia nzima, mtoto wa Rais ikawa mwiko kufatana na Rais?
 
Kwani Abdul unafahamu shughuli zake?

Toka lini dunia nzima, mtoto wa Rais ikawa mwiko kufatana na Rais?
Nilijua bi kuwashwa utaibuka. Tuliuliza mwijaku kapelekwa na Nani ufaransa faster serikali ikajibu faster .tuliuliza Abdul alitumwa na nani kwa Museveni serikali ikapiga kimya. Watu wakauliza pesa za uniform zinazohusishwa na Abdul serikali ikapiga kimya sasa tunauliza huyu mwana kaenda na msafara wa Rais kama Nani we unakuja na mistari yenye swali badala ya kunijibu swali uliloulizwa.Chawa kaeni kimya tunalinda masilahi ya nchi yetu kwa faida ya wote. Chawa mpotee mmetuchosha
 
Kwahiyo mtu akiwa rais basi ndio nasaba yake ifutike? Baada ya kazi na kazini yeye ni mzazi pia
NB
Mtoto wa rais ndie rais wa watoto wote inchini, hata
Umbwa wa rais ndie rais wa maumbwa yote inchini
 
Wivu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…