Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

Wewe ndio ukifanya hupendi kufanyiw. Hujawah cheat? mbona muongo sana. Malaika wako mwenye huko mbinguni anaguna akisoma message zako๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
๐Ÿ˜‚ Sijawahi for real
 
Ngoja waje watoe povu.

Ningepend kujua unashauri vipi ili tuache tamaa. Wanawake wazuri kama maua๐Ÿ˜€ utatamani tu uyanuse.
Zuruleni tu kikubwa msisahau watoto nyumbani
 
Mwenzako trudie kapata mtoto wa pili na bebi mwingine. Wewe lini?
 
Hata kama anakucheat yan huumii hata kawivu? mapenzi bila wivu hayaend

Napenda sana mwanamke akinidekea yani udhaif wangu๐Ÿ˜€
Ukicheat unakuwa umejipanga kudekewa nje
 
Sometimes mapungufu yanazidi umuhimu wa mtu kwako.

Pia, mtu anaweza kuwa muhimu sana kwako, ila wewe usiwe muhimu kwake.

Kwenye mahusiano kuna vitu vingi sana vya kuconsider, upendo na umuhimu wa mtu are not the only deciding factors
 
Amehlo soma haya madini hapa. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ