Achana na mapungufu ya mtu angalia umuhimu wake kwako

😂😂 Toka hapa, I AIN'T CHEAT.📌
Ngoja mchungaji aseme uone utakavyoamka wa kwanza kwa kuogop kwend motoni🤣🤣 aliwawah kuchit sema Nisamehe Bwana utakavyosema kimoyomoyo
 
To yeye Kwa mwanaume jamani pigeni shoo za maana hakika utakumbukwa siku zote ...
Sisi tuliobarikiwa kuunganisha bao nne kwa mkupuo hakika hawa wanawake wanatuvumilia kwa mengi...
 
😂😂😂 Aaah mimi nina uhakika 💯% bwana
 
To yeye Kwa mwanaume jamani pigeni shoo za maana hakika utakumbukwa siku zote ...
Sisi tuliobarikiwa kuunganisha bao nne kwa mkupuo hakika hawa wanawake wanatuvumilia kwa mengi...
😀😀😀 To yeye kaolewa mzee
Nisha jaribu kufika kwake mbeya nikarudi na bus nililoendea
 
Pana watu wanatabia ngumu kuishi nao labda uwe Yesu wa Nazareth ndo utaweza ishi nae.
 
Kwenye ndoa ukiona mmoja amenawiri mwingine amesinyaa.
Yule aliyesinyaa ananyonywa kihisia na aliyenawiri.
Ukiona ndoa imedumu tambua mmoja kaamua kubeba maumivu ya mwingine
 
Mtu akiwa na umuhimu automatically anakuwa hana mapungufu. So kusema "akiwa na umuhimu usimuache" unakuwa upo sahihi kabisa.

Mahusiano imara huwa yanazingatia kitu kinaitwa Merit.
 
Kweli mkuu
 
Kwenye ndoa ukiona mmoja amenawiri mwingine amesinyaa.
Yule aliyesinyaa ananyonywa kihisia na aliyenawiri.
Ukiona ndoa imedumu tambua mmoja kaamua kubeba maumivu ya mwingine
Kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom