Halafu huyo sunk of cost fallacy anatuita monkeys [emoji205] wale tunaohoji.Ni lini samia amejenga barabara ukiacha matundu ya choo?
Inaonekana hata huelewi kitu juu ya mchakato wa uingizaji mafuta ulivyo na tozo kibao, kwa taarifa yako kuna tozo kama 19, sasa unapouliza eti kuna nchi gani haitozi kodi, kwenye mafuta ni ajabu.Inshu sio kuacha kutoza kodi bali ni kuondoa baadhi ya tozo ili kupunguza gharama ya mafuta!!Nitajie nchi ambayo haitozi kodi katika bidhaa za mafuta.Nchi itajiendeshaje kama haikusanyi kodi? Mnataka kuja tena kumlaumu kuwa hospitalini hakuna madawa, wafanyakazi kutolipwa mishahara kwa wakati n.k
Kwahiyo unakubali kuwa bei ya mafuta Zenji ni sh 2,600? Kama ndio, Znz wanachimba mafuta yao? Au wao hilo soko la Dunia haliwaathiri?Kwa hiyo? Zanzibar wameweka Kodi kama Bongo? Nani kakwambia mafuta ni jambo la Muungano?
Machawa kama wewe hamstaili kuishi.Kwa hiyo? Zanzibar wameweka Kodi kama Bongo? Nani kakwambia mafuta ni jambo la Muungano?
Zanzibar wao wananunua kutoka sayari gani?Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Zanzibar wao wananunua kutoka wapi?Ni kweli bei imepanda duniani kote,,lakini serikali inafanya nini ili kudhibiti hiyo hali isiathiri sana maisha ya watu? kwa nini wasipunguze kodi na tozo kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei.? nini maana ya Rais kama hawezi kupambana na changamoto zinapojitokeza?
Bunge limesitisha ratiba yake ili kupisha hoja ya dharula kupinga ongezeko la bei ya mafuta.Ndio maana nakwambia una akili ndogo afadhari na funza,unaweza Kuta na wewe ni msomi unauliza Kodi inaenda wapi [emoji1][emoji1]..
Nilitaka nisikujibu kwa sababu ntakuwa najichosha kujadiliana na mtu mwenye akili ndogo kiasi hiki..
Nchi zisizo na tozo,unajua uwezo wa kiuchumi wa hizo Nchi? Zinahudumia raia kiasi gani?
Yaani unauliza Kodi na mirahaba inakwenda wapi? Hapa sikujibu kwa sababu wewe ni mjinga,go find for yourself.
Royal tour unayoisemea ni nyenzo mojawapo ya kutafuta pesa Ili mke wako wewe mvivu akatibiwe,bil.9 hata mafuta ya nusu mwezi haitoshi.
Hujawahi msikia akikwambia anakopa kwa ajili ya miradi? Unapouliza inakwenda wapi wewe unaishi shimono?
Stupid monkey sikujibu tena upuuzi wako
Ni porojo tuu huko Bungeni kwa sababu serikali itasema itakuja na majibu wakati wa kujadili bajeti ya Nishati wala hakuna jipya hapo.Bunge limesitisha ratiba yake ili kupisha hoja ya dharula kupinga ongezeko la bei ya mafuta.
Je wabunge nao ni stupid Monkeys [emoji205] kama mimi?
Je wabunge nao ni akili za visoda?
Acha kuwa ukijiona mjuaji kwenye masuala kama haya ya kitaifa na yanayoigusa jamii kwa upana zaidi.
Wewe unaonekana kuwa mlala bure na familia ya walamba asali.
Unataka ubakie wewe funza peke yako?
Na tatizo kubwa katika Nchi hii ni kwamba kila inapopanda bei ya nishati yeyote ile iwe ni umeme au mafuta basi hapo huwa ni neema kwa wafanyabiashara !! Kwa kupandisha bei za bidhaa kiholela kwa sababu huwa hakuna udhibiti katika kusimamia bei za bidhaa !! Wanasema ni soko huria, na kibaya zaidi ni kwamba hata hapo baadaye bei za nishati zikishuka bado zile bei zilizopanda kwa sababu ya kupanda bei ya nishati zitabaki huko huko juu na kuendelea kupandaZaidi na zaidi ! Hapo sasa ndipo Serikali inapolaumiwa kwa kushindwa kuwadhibiti wafanyabiashara wanaojipandishia bei za bidhaa kiholela !Ni kweli bei imepanda duniani kote,,lakini serikali inafanya nini ili kudhibiti hiyo hali isiathiri sana maisha ya watu? kwa nini wasipunguze kodi na tozo kwenye mafuta ili kupunguza makali ya bei.? nini maana ya Rais kama hawezi kupambana na changamoto zinapojitokeza?
Tzn time enjoy bei nafuu ya mafuta kuliko Nchi zote zinazotuzunguka except Zambia,kwa sasa hata huko Zambia bei hazikamatiki na hawana Kodi zozote..Kwahiyo unakubali kuwa bei ya mafuta Zenji ni sh 2,600? Kama ndio, Znz wanachimba mafuta yao? Au wao hilo soko la Dunia haliwaathiri?
Na kwa kutumia mfano wa mama, bei ya lita moja huko USA ni sawa na huku? Utasingizia usafirishaji kana kwamba USA ndo nchi inayotoa mafuta. Vipi kuhusu bei ya mafuta kabla ya vita, ukilinganisha na nchi zote zilizotuzunguka, ilikuwaje? Kwanini?
znz je??Ahlan wa Sahlan
Habari zenu wana JF:
Kumekuwa na tabia ya upotoshaji inayoendelea hapa nchini kwa watu kumlaumu rais kwa hali ya kupanda kwa gharama za maisha inavyoendelea kila kukicha, kubwa ni hili la kupanda kwa gharama za mafuta ya petroleum, diesel na mafuta ya taa.
Bei ya mafuta kwa nchi zisizozalisha mafuta zimepanda kwa kiasi kikubwa duniani kote. Pigieni simu watu wa Nairobi, Mombasa, Kisumu, Kampala , Lusaka, Kigali n.k muwaulize bei za mafuta zipoje.
Tembeleeni hii tovuti mjionee bei za mafuta duniani.
Gasoline prices around the world, 03-Feb-2025 | GlobalPetrolPrices.com
Gas prices by country using official data sources.www.globalpetrolprices.com
Yeah, nasikia hata gharama za kuunganishiwa umeme zimeshuka ilhali kwa Tanganyika imepanda, umeme huo huo unaotoka Tanganyika, ni kweli?Kuhusu Zanzibar,sio tuu mafuta ni nafuu lakini takribani vitu vyote kule ni nafuu kuliko Bara miaka yote hata kabla hujazaliwa wewe,huo unafuu haujaanza leo wala Jana..
Kabla ya kubishana na Zitto (ingawa Zitto huaga simkubali kwa mambo mengi sana but that doesn't mean kwamba HANA point, no ) ni vizuri kujiridhisha na wewe wenyewe kama umemuelewa Zitto na pia unajua idadi ya KODI zilizopo kwenye mafuta; maanake naona tayari umeisha potosha, mwenzio kasema punguza na wewe umesema WAFUTE, wapi Zitto kapendekeza KUFUTA!? So to me is either hujamuelewa Zitto na pendekezo lake au umeamua kupotosha makusudi or huelewi chochote kuhusu idadi ya kodi zilizopo kwenye mafuta. Again, remember hakuna anae ilaumu serikali/rais; watu wanakuja na mapendekezo ya nini kifanyike kuhusu hili sakata la mafutaHuu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?
Hizo dawa hospitali zipo sasa au umeamua kukaza fuvu?Huu ni ujinga wa Hali ya Juu,unaposema wafute hizi Kodi manake unasema madawa yapungue hospital,wasijenge barabara nk Ili watu wapumue sio?
Huyo ni mmoja ya wale wanaoishi kwa shemeji analala sebuleni kwa dada yake.Bunge limesitisha ratiba yake ili kupisha hoja ya dharula kupinga ongezeko la bei ya mafuta.
Je wabunge nao ni stupid Monkeys [emoji205] kama mimi?
Je wabunge nao ni akili za visoda?
Acha kuwa ukijiona mjuaji kwenye masuala kama haya ya kitaifa na yanayoigusa jamii kwa upana zaidi.
Wewe unaonekana kuwa mlala bure na familia ya walamba asali.
naomba kujua bei za mafuta zanziba zipoje kabla hatujaenda huko unapo tupeleka, tukumbuke tunapo fananisha hizi bei tusikimbilie kuchukua mifano ya bei ya juu tuu tuchukue na ya bei ya chini pia, lakini tunapofananisha pia tuangalie na kipoto cha chini cha kila mwananchi cha nchi husika tunazofananisha nazo.Ahlan wa Sahlan