sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Wanatafuta uhuru wakati uhuru wanao ila hawajui kama wanaoUna raisi, bunge, mahakama, jeshi na bado unalia huna mamlaka kamili? Kwanini usitumie hivyo vyombo kupata hio mamlaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta uhuru wakati uhuru wanao ila hawajui kama wanaoUna raisi, bunge, mahakama, jeshi na bado unalia huna mamlaka kamili? Kwanini usitumie hivyo vyombo kupata hio mamlaka?
Tanganyika iko KigomaACT wana mpango gani na Tanganyika, naona wao wanatetea Zanzibar tu ila Tanganyika hawana mpango nayo!
Kwa mujibu wao anayefaidika ni Tanganyika maana yeye ni both Tanganyika na pia ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na Zanzibar haikui maana haiwezi jitegemea kiuchumi kisa kubanwa na Tanganyika kujiamulia masuala kma gesi na mafuta, Kodi, bandari huru, benki kuu, kitu UN, kushiriki michezo kimataifa n.k.Unadhani kutakuwa na faida gani kwa Tanganyika nchi kwenda kwenye federation badala ya nchi moja?
Kwa sasa nani ni mnufaika wa Muungano katika ya Zanzibar na Tanzania bara ?
Hawa ACT ni oppurtunist na zitto ndio oppurtunist mkubwa. Hana itikadi anayoiamini ila chochote kinachokuja mradi mkono uende kinywani. Watu mnaoperate katika katiba ya taifa moja halafu unakuta chama kimoja kinataka kuvunjwa katiba hiyo. Ukiwapa zanzibar madaraka kamili maana yake nini? Ukisikia yale wanzanzibari hao wa ACT zamani wakiwa CUF kitu wanataka utashangaa. Wanakuambia wanataka muungano ila wawe na madaraka kamili ikiwa ni kua na kiti umoja wa mataifa, kua na mabalozi nje, kua na passport yao. Hapo ndio mtu unashangaa wanataka muungano kweli au wanafanya mzaha.
Yaani JMT inashughulika na mambo ya muungano na yasiyo ya muungano ya upande wa Tanganyika. Ila serikali ya Zanzibar inashughulika na mambo yasiyo ya muungano kwa upande wa zenji.Tanganyika ina mamlaka kamili yapi wakati haipo hata katika ramani ya dunia? Ikibalika kuwa na serikali tatu(though kwa mtazamo wangu either iwe serikali moja au muungano uvunjwe, one the two) ndipo utabaini jinsi Tanganyika ilivyomezwa kijinga na hilo la eti Tanganyika ina mamlaka kamili chini ya koti la muungano hata zuzu ajafahamu ya kuwa that shit doesn't exist.
PoleZanzibar haina Jeshi
Vipi serikali moja, nayo huipendi? Tatu za kufanyia kitu gani?Huu muungano either uvunjwe or uwe wa serikali 3 ili Tanganyika nayo itambulike na sio kuendelea na huu muuondo wa kipumbavu wa serikali 2 unaoibeba Zanzibar
Kama kawaida yako mkuu 'zitto junior', umejitahidi vizuri sana kueleza jambo husika kwa ufasaha kabisa lakini bado ni shida kueleweka.Yaani JMT inashughulika na mambo ya muungano na yasiyo ya muungano ya upande wa Tanganyika. Ila serikali ya Zanzibar inashughulika na mambo yasiyo ya muungano kwa upande wa zenji.
So mpaka hapo serikali ya Tanganyika ndio hiyo hiyo ya JMT so unaweza ona imevaa koti la muungano hivyo zenji ni kama mualikwa tu au kawilaya tu.
Ndio wao wanasema Tanganyika ibaki na mamlaka kamili na wao wawe na mamlaka kamili ILA mambo ya muungano pekee ndio yabaki JMT.
Hopefully umeelewa hoja Yao!! Hawataki nchi mpya au kujitawala ila wanataka MAMBO YASIYO YA MUUNGANO yaamuliwe na ZANZIBAR kuliko Sasa wanafungwa na JMT ambayo ndio hiyo hiyo Tanganyika!!
Yapi hayo yanabaki ya nje ya mamlaka? Kwanini yabaki nje ya mamlaka ya Zanzibar ila Tanganyika Bado Ina "mamlaka" yake!!Kama kawaida yako mkuu 'zitto junior', umejitahidi vizuri sana kueleza jambo husika kwa ufasaha kabisa lakini bado ni shida kueleweka.
Kuwa na "mamlaka Kamili" itawezekana vipi wakati kuna baadhi ya mambo yanabaki kuwa nje ya mamlaka?
Huoni hapa kuwa kuna kujichanganya kiaina, tena nadhani kwa maksudi tu kwa hao wanaoimba "mamlaka kamili".
KMKM ni nini?Zanzibar haina Jeshi
Sasa kuna ugumu gani kurahisisha tu lugha, kwamba kila nchi ijitegemee kivyake,; kwa mambo yake yote?Yapi hayo yanabaki ya nje ya mamlaka? Kwanini yabaki nje ya mamlaka ya Zanzibar ila Tanganyika Bado Ina "mamlaka" yake!!
Kwa vile CCM imetawala nchi hii ya Zanzibar na Tanzania takriban Miaka 60 iliyopita, 30 bila ya vyama vingi, na 30 ndani ya vyama vingi. ACT Wazalendo chama DUME kina kila sababu kama chama cha upinzani kuyasemea yale yaliyokwenda kombo ili kuiwajibisha CCM kwa makosa ya kiutendaji au kisera , fikra, mipango au mifumo yake ya kiutawala ambayo imeshindwa kuondoa kero za wananchi ambazo ni (Umasikini,Maradhi, na Ajira)Hawa ACT ni oppurtunist na zitto ndio oppurtunist mkubwa. Hana itikadi anayoiamini ila chochote kinachokuja mradi mkono uende kinywani. Watu mnaoperate katika katiba ya taifa moja halafu unakuta chama kimoja kinataka kuvunjwa katiba hiyo. Ukiwapa zanzibar madaraka kamili maana yake nini? Ukisikia yale wanzanzibari hao wa ACT zamani wakiwa CUF kitu wanataka utashangaa. Wanakuambia wanataka muungano ila wawe na madaraka kamili ikiwa ni kua na kiti umoja wa mataifa, kua na mabalozi nje, kua na passport yao. Hapo ndio mtu unashangaa wanataka muungano kweli au wanafanya mzaha.
Mbona EU ni shirikisho ila Kila nchi Ina bendera, jeshi n.k ila sarafu, biashara, sheria za kazi n.k Wana share!!Sasa kuna ugumu gani kurahisisha tu lugha, kwamba kila nchi ijitegemee kivyake,; kwa mambo yake yote?
Duniani kote vyama huungana na kuwa na itikadi moja na kuunda Serikali, Kama sio swala la Tumbo maana yake ACT inakubaliana na Sera za CCM ndio maana wakaungana, tafuati na hapo wadanganyeni wajingaKwa vile CCM imetawala nchi hii ya Zanzibar na Tanzania takriban Miaka 60 iliyopita, 30 bila ya vyama vingi, na 30 ndani ya vyama vingi. ACT Wazalendo chama DUME kina kila sababu kama chama cha upinzani kuyasemea yale yaliyokwenda kombo ili kuiwajibisha CCM kwa makosa ya kiutendaji au kisera , fikra, mipango au mifumo yake ya kiutawala ambayo imeshindwa kuondoa kero za wananchi ambazo ni (Umasikini,Maradhi, na Ajira)
Kama ni hivyo kwanini serikali ya tanzania bara na viongozi wake wasi iachie zanzibar ?Yaani hatua kubwa ya kufikia serikali moja tuliyopiga turudi kwenye shirikisho tena ?
Muungano wa Tanzania hauwezi kabisa kufit kwenye mfumo EU.
Hata katika logic ya kawaida huwezi kutengeneza equal share of responsibility na rights kwenye nchi mbili moja ina 58 M population na nyingine ina 2M pouplation.
Mapato ya Zanzibar kwa mwaka yanazidiwa hata na mapato ya Manispaa ya Ilala.
Hao wataweza kuendesha serikali ya shirikisho kama EU?
Benefits as Muungano wanazifaidi zaidi Zanzibar kuliko Tanganyika.
Imagine fedha za Uviko kiasi walichopata ni karibia mapato yao ya mwaka mzima.
Wakienda kwenye mfumo wa EU kesho na keshokutwa watataka watoke kwenye Muungano kisa wameshindwa kuchangia uendeshaji wa serikali ya pamoja.
Bila shaka kina Zitto wanapiga zomari kwa wimbo wasioujua, au wanaujua ila wanafanya siasa za hadaa.
Logic ndogo anae ukumbatia muungano ndio mnufaika mkubwa, sasa Tanzania bara na Zanzibar nani yuko tayari kuua watu kuulinda? jibu ni rahisi Tanzania bara, ndio maana hata Rais wa Zanzibar mnachagua kutoka Dodoma ili mfanye mtakavyo kuulinda muungano