Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

Kila mtu ana imani yake.

Ila kwa polisi ama wanajeshi hizo imani hawaziogopi maana training zao askari huwa wanaelekezwa ujanja ujanja unaotumika katika hizo imani potofu za kusadikika
Blah blah blah blah
 
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.[emoji23]
 
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.[emoji23]
 
Jeshi letu la Polisi bado lina ethics za jeshi la kikoloni. Hawaelewi hata maana ya neno Police. Hawajui. Wanataka kujifananisha na JWTZ. Ni tofauti. Bahati mbaya sana wengi ni form four failures na wengi wana vyeti fake. We still have a very long way to go.
 
Juzi kamsimamisha bro wangu, akamwambia achuchumae, bro akagoma, akamvaa mwilini, bro akamchapa makofi, akaita wenzake, wenzake wakampuuza tu, wakamwambia achana naye, alichofanikiwa ni kukata vifungo viwili vya shati la bro
Unaliwa na mapopo.Lameck unamjua vizuri kweli! Kwanza polisi wa TZ apigwi kifala tu.Uongo wako kamwambie mama yako.
 
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Ukitoa kitisho kabla ya kutengeneza dawa unakuwa umeshaizimua haitafanya kazi
 
Mkishamtoa kibusha mlete mrejesho, wazee wa mkoa tunataka matokeo huyo baradhuli mtesa wazee imempata nini?
 
Unaliwa na mapopo.Lameck unamjua vizuri kweli! Kwanza polisi wa TZ apigwi kifala tu.Uongo wako kamwambie mama yako.
Huyu Lameck Mbulu kapigwa kama kinda la chekechea. Sijui huo ulinzi anaufanyeje?
 
Inaonekana babu yako ndo wale wazee wakati wenzao wanapambana kushika viwanja na marneo mdani ya jiji la dsm yeye alikua busy kutongoza na kuruka viwanja enzi za ujana wake huyo askari kamchukuliaje.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…