Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

mbona nchi nyingi unapita ikulu hafanywi chochote unapita makambini hufanywi chochote ila tanzania tuau east africa tu
 
Aiseee amefanya kosa kubwa sana kumpa pinchi mzee wa 73 ,Kupita kwenye vibanda vyao pale oysterbay ni kosa? Ebu muonyesha "ADIVATAIZI" iwe funzo kwa mambwiga wenzao.
 
Nawe umeachwa? Maana mabinti humu mkiachwa mnakuwa busy na JF! Mkipata mnapotea kama akina Mzigua90 etc
 
Juzi kamsimamisha bro wangu, akamwambia achuchumae, bro akagoma, akamvaa mwilini, bro akamchapa makofi, akaita wenzake, wenzake wakampuuza tu, wakamwambia achana naye, alichofanikiwa ni kukata vifungo viwili vya shati la bro
Ebu nielekeze kesho nikatishe kupita pale nione atanifanya Nini huyo kijana, huyo Hana adabu jeshi halimfai kabisa
 
Unaliwa na mapopo.Lameck unamjua vizuri kweli! Kwanza polisi wa TZ apigwi kifala tu.Uongo wako kamwambie mama yako.
Wewe ndio lameck mwenyewe nini mkuu ?unasoma ramani ya vita hapa,maana si kwa kupanic huko!
 
Police ni wachafuu sana ukipita maeneo yao utajua akili zao ni ndogo, hawajui mipango wala usafi. Wanaona aibu ukipita karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…