Hahaha, eti Mambo ya shirkiAfande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Sawa mna haki,lakini aangalieni na umri wa Mtu! Wazee wapewe heshima yao! Kwani kukatiza hapo kwenu ni kosa la Jinai!!??Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Kwa hiyo umekuja kumtishia uchawi huku JF.Kweli Tanzania ya pili kwa Imani ya ushirikina.Nikwambie kitu.Kama ana Imani isiyo haba ,huna uwezo huo wa kumfanya chochote.Alikuwa anatekeleza majukumu yake.Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
ujanijua kumbe mkuu, sema ndo vile hatujuani humu, Kuna watu humu ni sugu kwa kila kituHuogopi kuteswa Mnyakyusa uchwara?
Mimi siyo POTI,nimeongelea double standard hilo.Sawa mna haki,lakini aangalieni na umri wa Mtu! Wazee wapewe heshima yao! Kwani kukatiza hapo kwenu ni kosa la Jinai!!??
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
😂😂Mnyakyusa uchwara, we mnyalu huna adabuHuogopi kuteswa Mnyakyusa uchwara?
Makubwa haya, lakini kwa umri huo tabia za hao buku tano ni ngeni kwake?Itakua walimhisi mzee Ni Panya Road senior.
Bila kutoa mfano wabongo hawaelewi somoWakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Natamani uelimike kuhusu upande wa pili wa duniaKila mtu ana imani yake.
Ila kwa polisi ama wanajeshi hizo imani hawaziogopi maana training zao askari huwa wanaelekezwa ujanja ujanja unaotumika katika hizo imani potofu za kusadikika
Hata aki panic vipi lazima arogwe tu mwaka huuWewe ndio lameck mwenyewe nini mkuu ?unasoma ramani ya vita hapa,maana si kwa kupanic huko!
Nijinga pekee na mshamba na limbukeni anaye amini kwamba askari polisi anatakiwa kuogopwa kama jinamizi , nakumbuka mwaka 98 niliwahi kutandika makofi dogo mmoja askari polisi baada ya kutaka kujifanya mbabe kwenye haki yangu halafu akiwa nje ya sare ya kazi na baada ya hapo nikatangulia mwenyewe kwa OCS kumpa taarifa amkanye kijana wake. Na aliniheshimu kuanzia hapo,Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.
Poleni sanaAfande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Poleni sanaAfande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Poleni sanaAfande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui, ila tunaamini kwenye kitu kimoja tu, mwana kulitafuta mwana kulipata.
Kitakachokupata itakuwa gumzo kwa polisi wenzako wasio na adabu hata kwa watu wenye umri wa babu zao.
Lameck punguza hasira,Unaliwa na mapopo.Lameck unamjua vizuri kweli! Kwanza polisi wa TZ apigwi kifala tu.Uongo wako kamwambie mama yako.