Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Kuna wizara walai bilai watalai ni noma wizara ya tabia njema ina maana wakiwa bungeni " Mheshimiwa kundecha wa wizara ya tabia njema una la kuongezea hapo🤣🤣🤣
 
Dini imemweka mwanamke katika daraja ya juu iliyo bora kabisa. Hapana dini nyingine popote duniani yenye viwango hivi vya ubora kwa mwanamke. Tatizo mnatazama kwa mtazamo hasi!
Wewe na hiyo avart yako hamna tofauti kabisa.
 
Tulia mwanamke wakiislam mbona povu
 
Unachoshindwa kuelewa ni kila nchi ina sheria zake, misimamo yake na maono yake, ukilijua hilo wala hutopata shida kikubwa ni kuheshimiana
Iran wakati wa Shah Reza Palhavi ilikuwa ni Secular, aliyelleta Serikali ya Kidini ni Ayatolah.

Sio swala la uamuzi wa Mwananchi Binafsi bali ni kulazimishwa na Serikali hiyo ya Ayatolah bin Shetani.
 
Ila kobazi majinga kweli sasa kama hajaolewa hatakuwa anaongea na nani?? Si mdomo utanuka sana..........kumfanya mtu asiongee kama yuko jera.....wakati yuko huru.............hapa bora marekani asingeondoka ...........bora angebaki awe anawabandua tu hawa mahustazati wa kiafghani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…