Sasa kama wewe umekariri usilazimishe wote tumekaririLakini bado ulikariri midhari ulisoma hapa hapa Bongo. Inanikumbusha Wazazi wetu pia enzi tunasoma walikuwa wanapondea mfumo wa ufundishaji enzi zetu na wakisifia elimu ya enzi zao.Wazazi tuwape ushirikiano walimu ili watoto wetu wasome
Hapo sasa...masomo meengiii..arghHuko ni kukaririsha watoto.
Mbona sisi tumesoma
Saa 2-8?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
standard measure yetu ni mitihani. As long as hajafikia hicho wanachokiita ufaulu, then amefeli! Lakini siyo kuwa ametoka akiwa tabula rasa, never! Kuna kitu tena kikubwa amekipata hata kama kwa vipimo vyao amefeliHivi unajua maana ya kufeli au unaangalia ile zero,kufeli maana yake mwanafunzi hakupata stadi alizokusudiwa kupata,kama alitakiwa kujua kusoma maana yake anatoka bila kujua kusoma,kama alitakiwa kujua kuandika anaondoka bila kujua kuandika, huko ndio kufeli, Je lengo la kwenda shule ni hilo? kwamba aende shule na aondoke kama alivyokuja? Sasa ukisema kama kufeli na wafeli maana yake kusiwepo na shule kwa sababu hatutaki watoto wajue kuhesabu,kuandika na kusoma,
Sisi tulisoma masomo 5 pekeeHapo sasa...masomo meengiii..argh
Ok BossSasa kama wewe umekariri usilazimishe wote tumekariri
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Zamani ipi masuala ya tuition mkuu?unaongelea zamani ipi, Kwanza zamani ilikua likizo lazima twende tution maana walimu walikua hawamaliz topics, kama hujaenda tution unakuja kuomba rafiki akufundishe. Zamani hakukua na shinikizo walimu wafaulishe, hivyo ilikua ukikaa kusubir ufundishwe kila kitu imekula kwako. O level nimesoma mpwapwa sec na advance Musoma
Feza Int Sala sala wanatoka saa kumi na moja.Na asubuhi saa moja mpaka moja na nusu unakuta School Bus au magari binafsi yanashusha watotoUkiangalia international schools kuanzia Feza Int, IST, ISM,DIA, Academic, Agakhan wanafunzi wanatoka mapema shule.
Hawana Tuition wala masomo ya ziada,
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mayb...naona wanarundikiwa sana madude kichwani mengi mengiSisi tulisoma masomo 5 pekee
Hisabati
Kiswahili
Kiingeleza
Maarifa ya Jamii
Kazi
Masomo hayajabadilika sana, huenda watoto wa siku hizi ni wajinga au umri wanaoanza nao shule sio sahihi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Angalia hapoFeza Int Sala sala wanatoka saa kumi na moja.Na asubuhi saa moja mpaka moja na nusu unakuta School Bus au magari binafsi yanashusha watoto
Au wenda umri WA watoto kuanza shule upo sahihi ila WALIMU NI WA MICHONGO.Sisi tulisoma masomo 5 pekee
Hisabati
Kiswahili
Kiingeleza
Maarifa ya Jamii
Kazi
Masomo hayajabadilika sana, huenda watoto wa siku hizi ni wajinga au umri wanaoanza nao shule sio sahihi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
standard measure yetu ni mitihani. As long as hajafikia hicho wanachokiita ufaulu, then amefeli! Lakini siyo kuwa ametoka akiwa tabula rasa, never! Kuna kitu tena kikubwa amekipata hata kama kwa vipimo vyao amefeli
uko sahihi!Kubali kafeli ni kwamba kuna stadi hajazimasta inawezakua ni kusoma au kuandika,
Wazazi tukubali kuinvest kwenye elimu,kama vile unavyokua na shamba na unaweka mbolea,unapulizia dawa ili mwishoni uvune vizuri na elimu ndivyo inavyotaka,tuwekeze kwa watoto kwa mfano kama huu wa kilimo
Serikali ni mastermind sana,elimu wameweka iwe bure ili mtoto akifeli usifeel pain sababu kwanza hukuwekeza chochote kwahyo utaona ni sawa,
Elimu sasa inakwenda kua ni kwa ajili ya watu wachache not for all,Ndio maana Baraza la mitihani limefuta kumi bora na kumi dhaifu kitaifa hii maana yake inaenda kufuta kufundisha kwa ubora,walimu watarelax katika ufundishaji, wale wataofaulu na watakaofeli hakuna ambae atauliza,kwani vigezo vya kufauli vipo tofauti,huwezi kusema shule hii dhaifu wakt mazingira yake yanaonesha imejitahidi sana.
Lakini serikali imekua ikitenga bajeti kubwa ya madarasa kila mwaka,sababu watoto wanaofaulu ni wengi ndio maana imefuta competition ili watoto wafaulu wachache,lakini vyuo vikuu bajeti ya mikopo nayo ni kubwa na inaongezeka kila mwaka,serikali ikaona bora ipunguze ufaulu ili bajeti iwe minimal
Wazazi elimu sasa hivi sio ya kila mtu,usikute miaka ya mbele huko wasomi wataofika vyuo vikuu mkoa wa Tanga wasifike 500 mkoa mzima kwa mwaka, kwahyo kama mzazi unatakiwa kuokoa kizazi chako.
Watoto wengi bado hajajajitambuaAu wenda umri WA watoto kuanza shule upo sahihi ila WALIMU NI WA MICHONGO.
Tena wanalipa mamilioni. Halafu wewe wanakudangaya usilipe miambiliWazazi sijui mnataka nini? Watoto wakifeli mnalalamika waalimu wakiwasaidia watoto kujiandaa na mitihani mnalalamika. Hizo shule za private mnaona wanavyoandaa watoto na mitihani. Watoto hao wa private wanashindana na hao watoto wenu.
Wazazi msipende vya bure wajibika kwa elimu ya mtoto wako kughalamia shilingi elfu tatu kwa wiki kwa ajili ya elimu ya mtotk wako unaona ni gharama?
Unataka mwalimu afanye kazi ya ziada lakini usimlipe. Wasikilizeni wana siasa wenyewe watoto wao wako private wanawalipia wewe wanakudanganya.
Mtoto ambaye hajajitambua akutane na mwalimu wa mchongo sasa.
Hata Shule hizi za Private za kawaida working hrs ni hizo hizo,lakini ki uhalisia watoto wanatoka late.Nadhani huwa wanaweka hiyo ratiba kwa maana ya mtu kwenda kwa shida ya kiofisi.Kama ni mpitaji wa barabara ya Sala sala utagundua School Bus zinatoka mida hiyo jioni na asubuhi mapema tu watoto wanashushwa hapo shuleni.
Wana clubs nyingi, afu wao mfumo wao ni kuhama darasa.Hata Shule hizi za Private za kawaida working hrs ni hizo hizo,lakini ki uhalisia watoto wanatoka late.Nadhani huwa wanaweka hiyo ratiba kwa maana ya mtu kwenda kwa shida ya kiofisi.Kama ni mpitaji wa barabara ya Sala sala utagundua School Bus zinatoka mida hiyo jioni na asubuhi mapema tu watoto wanashushwa hapo shuleni.