Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

Kama mama yako anavyomsubiri baba yako kila usiku siyo?
 
Nimefurahia alivyomshughulikia Slaa,na Bado mtaumia sana si mlikuwa mnasema hagusiki.

Ni hivi utapiga ramli Hadi 2030 na hakuna kitakachoanguka.

Mwisho kama mama Yako ni lofa aendelee kumsubiria baba Yako Kila siku awe object of sex kama dini Yako inavyosema.
 
wanasiasa wote ni wale wale tu.. haijalishi jinsia.

shida waliyonayo wengi wao ni kushindwa kutofautisha kipindi
cha uongozi ni kipi na kipindi
cha kufanya siasa ni kipi.
 
Tunapo elekea Elimu ya huyu Raisi na uwezo kiakili Uwekwe Wazi!!

Tunapo elekea Mola ndiyo anajua
Samia hakuwahi kuchukua fomu ya kugombea uraisi
Wanawake Wenye uwezo kama kina Rose migiro na Anna mgwhira(rip) walichukua fomu za kugombea uraisi na mkawakataa
So msikae hapa kukashifu wanawake ambao wamewazaa nyie wote mnaotapika hapa
 
Hajielewei huyo anaweweseka baada Slaa kushughulikiwa.Hawa ndio wale Huwa wanadanganyana na kulishana upumbavu huko vijiweni
 
Samia hakuwahi kuchukua fomu ya kugombea uraisi
Wanawake Wenye uwezo kama kina Rose migiro na Anna mgwhira(rip) walichukua fomu za kugombea uraisi na mkawakataa
So msikae hapa kukashifu wanawake ambao wamewazaa nyie wote mnaotapika hapa
Unakiri hakuchukua fomu hivyo akuingilia mlango sahihi siyo?
 
Slaa kwa Asili ni potential traitor; Amesaliti kanisa (kiapo Cha upadre), Amesaliti Ndoa, Alisaliti Chama Chake, Alisaliti allegiance yake kwa Dola. Kwa kifupi Slaa hawezi kuwa Balozi muaminifu.
Hata Mandela alipita humo humo kwenye ndoa ma kuwakataa watawala. Walimnyima hadhi na kumfunga, na ndoa yake na Winnie ikavunjia; akamuoa mke wa Hayati Moses.

Hayo ndio maisha ya wapigania haki, watetezi wa wanyonge! Hawa huwa hawapewi tuzo na Watawala, hunyang'anywa hata kidogo walichonacho.

Usishangae kwa Slaa
 
Mbona Samia ni zaidi ya jpm mara 100. Sasa hivi nchi imetulia na maendeleo kedekede. Nenda Arusha na bagamoyo sehemu za utalii utagundua hilo. Utalii ulikuwa umekufa na uwekezaji sector binafsi ulikuwa umekufa na kuwafanya vijana wachanganyikiwe mtaani bila ajira popote umachinga ikawa ndo option. Sasa hivi ajira kila Kona ya nchi.

We kwa vile ulikuwa na ajira tayri huwezi kuona hivi vitu. Sasa hivi nchi tunaifirahia. Mi nilikuwa Nina maka mitano nyuma Sina ajira yoyote natrmbeza vyombo tu na nilisima tourism. Sasa hivi nipo Arusha kama front office operator na vijana kibao ambao walikuwa hawana ajira kabisa na matumaini kupoteza.
 
Lakini si yeye mwenyewe Dk. Slaa alisema hata akinyang'anywa hadhi ya ubakozi hatishiki? Au alikuwa anatishia nyau?
 

Watu kama ninyi ndio mnaofanya wadhalimu waendelee kuwa wadhalimu...

Very low IQ
 
Lakini si yeye mwenyewe Dk. Slaa alisema hata akinyang'anywa hadhi ya ubakozi hatishiki? Au alikuwa anatishia nyau?
Hiyo alikuwa anawapa facts kwa sababu walikuwa wanamtishia hata kabla.

Naunga mkono mada wanawake hawana huo uwezo. Hata hawa mawaziri kina mama wanapewa kwa sababu ya jinsia tu ila uwezo hakuna
 
Hivi Upinzani na Slaa nani alimsaliti mwenzake?
Sijui kwanini aliondoka Upinzani, alifika bei kama mnavyosema au alikerwa na uwepo wa Lowasa?
 
Kumpatia mwanamke nafasi yo yote ile kwenye jamii inayomhusu mwanaume ni kosa kubwa kwa Mungu!

Mimi ni mkristo kiimani naamini hata kwa waislam mwanamke ni kiumbe dhaifu tu!



Vivyo hivyo mji au familia ambayo ukikuta baba ni wa kupelekeshwa au kutawaliwa hiyo famia haifai hata kuoa hapo! Baba ndo ataheshimisha familia na baba ndo atafedhehesha familia sio mama!

Au binti alolelewa na single mother huyo nae si wa kuoa coz the way amelelewa ni tofauti na aliyelelewa na pande zote mbili

Mf: magufuli na mama nani kaiheshimisha Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…