Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Ajabu huyo mnayemkandia ndo kawazaa
Simba hazai mbuzi
So kama mama yako ni kilaza nawe ni kilaza plus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu huyo mnayemkandia ndo kawazaa
Baada ya kuwa mkosoaji ktk suala la bandari ndio ndio unasema haya!!??Slaa kwa Asili ni potential traitor; Amesaliti kanisa (kiapo Cha upadre), Amesaliti Ndoa, Alisaliti Chama Chake, Alisaliti allegiance yake kwa Dola. Kwa kifupi Slaa hawezi kuwa Balozi muaminifu.
Mjinga ni wewe
Wewe huwezi kuwa na akili kumzidi mama yako
Na kama wakiri mama yako ni mjinga Basi we ni zao la mwanamke mjinga
Siri gani wewe? Ndio shida ya hii katiba yaani kila kitu last say hutoka kwa rais. Hapo Samia kafanya maamuzi kuwafurahisha ccm....hakuona athari kwa upande wake na taifa.Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?
Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Hivi ulifatilia kazi alizofanya Kama balozi, na umeshafatilia kazi za mabalozi wengine ukazilinganisha.Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?
Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Rais kutoka QT hadi kuwa rais ulitegemea maajabu gani ,halafu eti wanamwita Dr. mpuuuiiiii...Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelianya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING!
Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Mbowe pia na hisi kuna burungutu la minoti laipewa ,soon huyu mama atampandisha kizimbaniKwa hiyo kwa sasa tuseme kila aliyeupinga mkataba wa DPW ni adui yake..na wote waliounga mkono ni maswahiba zake..?
Huyu mama walimsifia ooh mpenda demokrasia..kiko wapi?? Demokrasia anayoiweza ni ile ya kwenye mfuko..we mpinzani wangu..nakupa asali ukae kimya.
Sasa kaona huwezi kuwa fool watu wote..akimtuliza yule, anaibuka mwabukusi, mara kina silaa wanaibuka..tumeenda mbali hadi kina prof Tibaijuka wanaibuka.
Kitendo alichofanya ni cha aibu mno..amekurupuka..ametia aibu hiyo nafasi hasa kwa yeye ambaye hakuchaguliwa kwa kura..hapa kweli utawalaumu vipi washauri wake?
Haya aifute na TEC basi.
Mnamo Novemba 2018Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelianya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING!
Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Hii inaonyesha kuwa huyu Mama ana maslahi makubwa sana na huu mkataba, kwa hiyo kila anayepinga anampinga yeye.Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelianya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING!
Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Kwako wewe qualification ni nini? Ya kuwa balozi? Embu wataje mabalozi wote wa kila nchi na qualification zao.Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?
Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
I wonderedHivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?
Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Mnamchukia Samia bila sababu na mnalazimisha sababu za uwongo. Soma kiambatisho hapa ujione ulivyo ZERO BRAINNakubaliana na were kabisa.kwanza afrika hakujawahi kutokea mwanamke akagombea urais akashinda isipokuwa mazingira huwa yanawafanya kuupata urais kwa mseleleko(wa kurithi) Joyce banda wa Malawi alirithi baada ya rais kufariki na hivyohivyo na hapa Tanzania.wtz tumejionea awamu ambayo nchi yetu imeharibika kuliko kipindi chote toka tupate Uhuru ni kipindi hiko cha uongozi wa mama yetu wa kizanzibar
Mtamaliza vilio kifo ni kilekile.Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelianya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING!
Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Na yule wa liberia nae alibebwa?Nakubaliana na were kabisa.kwanza afrika hakujawahi kutokea mwanamke akagombea urais akashinda isipokuwa mazingira huwa yanawafanya kuupata urais kwa mseleleko(wa kurithi) Joyce banda wa Malawi alirithi baada ya rais kufariki na hivyohivyo na hapa Tanzania.wtz tumejionea awamu ambayo nchi yetu imeharibika kuliko kipindi chote toka tupate Uhuru ni kipindi hiko cha uongozi wa mama yetu wa kizanzibar
Siyo Yesu tu hata waislamu ni haramu mwanamke kuwa kiongozi wa dini achilia mbali kuwa kiongozi akipita mbele yako ukiwa una swali ameharibu sala yakoYesu tunayemwamini aliona mbali kutokuweka mwanamke katika watumishi wake
Mtamaliza vilio kifo ni kile-kile.Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelianya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING!
Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Nini Samia, hilo kanisa lake lenyewe lilishindwa kuvumilia likamvua Upadri.Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelianya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING!
Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Dr Slaa alipewa Ubalozi wa Dunia na Papa Yohanne Paul II alipozuru TanzaniaLakini si yeye mwenyewe Dk. Slaa alisema hata akinyang'anywa hadhi ya ubakozi hatishiki? Au alikuwa anatishia nyau?
Hakustahili hata kidogoHivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?
Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Elimu!Kwa elimu yake he had the right qualifications to be appointed as such..............(yue ni padre wa Kikatoliki with good training in Law, philosophy, psychology, ethics, administration etc etc etc! The issue and main concern is: he was appointed an ambassador out of sheer betrayal to fellow opposition camp! Na ulafi wa tumbo!
Ni hilo tu! Makamba ana hadhi gani ya kuwa Minister forforeigh affairs!