Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Tumkosowe mama kwa mengine, Dr Slaa alihongwa ubalozi na Magufuli hana sifa ya kuwa balozi.

Dr Slaa ni mwanaharakati na siyo mwanadiplomasia.

Balozi huwezi kuwa mwanaharakati, alichofanya mama ni sahihi ili kumpa Dr Slaa kufanya harakati zake vizuri bila kuwa na kikwazo cha ubalozi.
 
Ajabu huyo mnayemkandia ndo kawazaa
Simba hazai mbuzi
So kama mama yako ni kilaza nawe ni kilaza plus

Tofautisha kukandia na kusema ukweli kukuzaa ni wajibu wake, wewe kumpa mimba mwanamke ni wajibu wako bila ww yeye hajazaa.

Na ukitaka ujue jeuri yao wajue huwezi tungisha mimba utatamani dunia ipasuke udumbukie!

Mwanzo 3:16
IMG_4733.jpg

Acha kutia huruma pasipotakiwa ukicheka na hao viumbe utadharaulika brother fanya iliyo wajibu wako
 
[emoji1787][emoji1787]Unasema umezaliwa na mjinga halafu uwe na akili kubwa?ipi hiyo?
Wewe mwenyewe hapo kajambanani huna mbele Wala nyuma halafu akili kubwa?

Wapi nimesema nimezaliwa na mjinga tofautisha kuwa na akili kuliko mwanamke sio ujinga

Na hadi kukupa hiyo elimu ambayo huna naamini nakuzidi kitu

Ila wewe huna cha kunifunza!
Ndo maana nakupa ushahidi wa biblia unayoiamini ila wewe huna huo ushahidi wa kuni-convince nikubaliane na hoja zako!

Hunijui tu ila naamini hunizidi kitu zaidi ya kunizidi ujinga tu!

Ok nenda kaimbe nani kama mama!
 
Hujui huyu mama anayopitia laiti angekupa siku yake moja ungeacha urais,kiufupi hajiendeshi anaendeshwa ujue hilo mwombe,akupe only one day
 
Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!

Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.

HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING! Kwa kosa lipi ? Kutetea msimamo wake wa bandari? Hilo ni kosa?

Mheshimiwa Rais SAMIA hana analolisimamia kwa dhati, anayumba. Leo 4R, maridhiano and many others hakuna analolipigania, anayumbishwa na kila anayepata bahati ya kumkaribia.

Simamia unaloliamini, power is invariably personal, there is no group power. Lazima uwe na kitu rohoni mwako kama Mkuu wa nchi unachokisimamia piga ua cha haki.

Akina Kinana wanamyumbisha na hawezi kusimama. Huyu kesho ukimwambia kuwa wabaya wako ni Roman Catholic Bishop na waraka wao and therefore tuwaue, atafanya. Au kuwa wakatoliki ndio wanasumbua utawala wako tuwaue ata sanction thir killings! hawezi kusema hili hapana! not to that extent!

Mara contract ni za hovyo unaona kifungu fulani kibovu nawe unaruhusu kiwepo, DP World anaipigania na vifungu vibovu kuwahi kutokea. sasa vifungu vibovu aivyokuwa anavisema alimaanisha nini?

Mara waliongeza cha juu kwenye ndege, hakuna aliyewajibishwa
ANASIMAMIA MSIMAMO GANI?

WE ARE DONE!

Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Hata wanaume nao mbona wanafanya hivyohivyo. Nadhani hayo unayoyasema ni tatizo la "stereotyping" zaidi kuliko reality. Mfano, nchi za Afrika zinazopinduliwa viongozi wake hawakuwa wanawake na moja ya sababu ni kuto'deliver'. Hivyo, naona kama unatoa 'wholesale judgement'.
 
Nakubaliana na were kabisa.kwanza afrika hakujawahi kutokea mwanamke akagombea urais akashinda isipokuwa mazingira huwa yanawafanya kuupata urais kwa mseleleko(wa kurithi) Joyce banda wa Malawi alirithi baada ya rais kufariki na hivyohivyo na hapa Tanzania.wtz tumejionea awamu ambayo nchi yetu imeharibika kuliko kipindi chote toka tupate Uhuru ni kipindi hiko cha uongozi wa mama yetu wa kizanzibar
Tanzania na Malawi kuna jambo kubwa mmejifunza,mgombea Urais usije kubali mgombea mwenza awe mwanamke,ukikaidi utakufa kabla ya kumaliza ngwe yako,Waulizeni Bingo wa Mutharika na Pombe Magufuli .
 
Hoja ya jinsia inasimama sana. uwezo wa kukaa na kufikiri kuwa hili hapana, nasimama na maamuzi yangu mwenyewe!

Huyu hana analolisimamia, anayumba. Leo 4R, maridhiano and many others hakuna analolipigania, anayumbishwa na kila anayemkaribia. Simamia unaloliamini, power is invariably personal, there is no group power. Lazima uwe na kitu rohoni mwako kama Mkuu unachokisimamia.

Akina Kinana wanamyumbisha na hawezi kusimama. Huyu kesho ukimwambia kuwa wabaya wako ni Roman Catholic Bishop na waraka wao and therefore tuwaua, atafanya. Au kuwa wakatoliki ndio wanasumbua utala wako tuwaue ata sanction! hawezi kusema hili hapana! not to that extent!

Mara contract ni za hovyo unaona kifungu fulani kibovu nawe unaruhusu kiwepo, DP World anapigania na vifungu vibovu kuwahi kutokea.

Mara waliongeza cha juu kwenye ndege, hakun aliyewajibishwa

WE ARE DONE!
Watangulizi wake WANAUME- tuseme nini juu ya makosa yao?. Je itatosha kuhitimisha kuwa wanaume hawafai/bado sana kupewa madaraka??
Makosa si ya kike au ya kiume, anaye kosea awwza kuwa me au ke.
 
Kwa hiyo kwa sasa tuseme kila aliyeupinga mkataba wa DPW ni adui yake..na wote waliounga mkono ni maswahiba zake..?

Huyu mama walimsifia ooh mpenda demokrasia..kiko wapi?? Demokrasia anayoiweza ni ile ya kwenye mfuko..we mpinzani wangu..nakupa asali ukae kimya.

Sasa kaona huwezi kuwa fool watu wote..akimtuliza yule, anaibuka mwabukusi, mara kina silaa wanaibuka..tumeenda mbali hadi kina prof Tibaijuka wanaibuka.

Kitendo alichofanya ni cha aibu mno..amekurupuka..ametia aibu hiyo nafasi hasa kwa yeye ambaye hakuchaguliwa kwa kura..hapa kweli utawalaumu vipi washauri wake?

Haya aifute na TEC basi.
Mnajua kujitesa haki ya nani! Poleni
 
Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!

Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.

HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING! Kwa kosa lipi ? Kutetea msimamo wake wa bandari? Hilo ni kosa?

Mheshimiwa Rais SAMIA hana analolisimamia kwa dhati, anayumba. Leo 4R, maridhiano and many others hakuna analolipigania, anayumbishwa na kila anayepata bahati ya kumkaribia.

Simamia unaloliamini, power is invariably personal, there is no group power. Lazima uwe na kitu rohoni mwako kama Mkuu wa nchi unachokisimamia piga ua cha haki.

Akina Kinana wanamyumbisha na hawezi kusimama. Huyu kesho ukimwambia kuwa wabaya wako ni Roman Catholic Bishop na waraka wao and therefore tuwaue, atafanya. Au kuwa wakatoliki ndio wanasumbua utawala wako tuwaue ata sanction thir killings! hawezi kusema hili hapana! not to that extent!

Mara contract ni za hovyo unaona kifungu fulani kibovu nawe unaruhusu kiwepo, DP World anaipigania na vifungu vibovu kuwahi kutokea. sasa vifungu vibovu aivyokuwa anavisema alimaanisha nini?

Mara waliongeza cha juu kwenye ndege, hakuna aliyewajibishwa
ANASIMAMIA MSIMAMO GANI?

WE ARE DONE!

Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
No. Tatizo ni elimu, elimu, elimu na professionalism. Nadhani Tanzania kuna dhana elimu si muhimu katika chochote, na kwamba yeyote anaweza kufanya chochote, mradi awe ameumbwa na aina fulani ya ujanja. Ndipo utakuta mtu kasomea kuwa chef, kwa Tanzania aweza apewe Uwaziri wa Nishati!
90% ya Mawaziri hawakusomea hivyo wanavyoviongoza na kama wamesomea Shuleni, Vyuoni...hawakuchukua masomo maalum ya kuwa professionals na wala hawaku practise popote wakaonekana uweo wao, wakiwemo marais. Wale wachache wanaotokea kufanya vyema, ni bahati tu, si plan.
Ni katika kila kitu Tanzania, hakuna specialization, hata michezo. Ndiyo maana mashindano yaliyopita ya dunia ya riadha hakuna hata medali moja. Licha ya medali, sidhani kama kuna hata mwanariadha wa Tanzania....kwa aibu. Na Waziri yupo anakula mamilioni yake. Hii nchi yataka mabadiliko makubwa sana.....kama yale ya Ufaransa na Rwanda combined!
 
Back
Top Bottom