Tupe wewe uhakikaUna uhakika na unayoyafikiria!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe wewe uhakikaUna uhakika na unayoyafikiria!
Sawa, lkn ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi MkuuUnakiri hakuchukua fomu hivyo akuingilia mlango sahihi siyo?
Sio kwamba hawayajui hayo, ila hawampendi tu MamaMbona Samia ni zaidi ya jpm mara 100. Sasa hivi nchi imetulia na maendeleo kedekede. Nenda Arusha na bagamoyo sehemu za utalii utagundua hilo. Utalii ulikuwa umekufa na uwekezaji sector binafsi ulikuwa umekufa na kuwafanya vijana wachanganyikiwe mtaani bila ajira popote umachinga ikawa ndo option. Sasa hivi ajira kila Kona ya nchi.
We kwa vile ulikuwa na ajira tayri huwezi kuona hivi vitu. Sasa hivi nchi tunaifirahia. Mi nilikuwa Nina maka mitano nyuma Sina ajira yoyote natrmbeza vyombo tu na nilisima tourism. Sasa hivi nipo Arusha kama front office operator na vijana kibao ambao walikuwa hawana ajira kabisa na matumaini kupoteza.
🤣🤣Unasema umezaliwa na mjinga halafu uwe na akili kubwa?ipi hiyo?Mwanaume siku zote ni mwanaume haijalishi mama yake kamzidi umri tambua mwanaume akili yake ni kubwa kuliko mwanamke note that
[emoji1787] mapapai kupimwa coronaKuna Mwanaume wa kumlinganisha na Samia kwenye ku deliver? Au una shida zako binafsi za mfumo Dume? Kama yupo mtaje tuanze kulinganisha ,tena Anza na Jiwe
Very low IQ Gani wakati niliteseka sana kipindi Cha jpm. Kwa nini nisione mama kaletwa na mungu kutuescue sisi wanyonge ambao hatukuwa na pa kutokeaWatu kama ninyi ndio mnaofanya wadhalimu waendelee kuwa wadhalimu...
Very low IQ
Nadhan tatizo kubwa ni mfumo wa Nchi hii ndio haimpi mwanamke credit ya ku perform well kweny nafas hiyo cz.. mfumo wa utawala wa CCM ni wa"One man show"!! So ndio maan ukiangalia kila atakae shika madaraka anakuja na lake kichwan hata kama halipo kweny ilani ya chama!! But ingekua ni Nchi yenye taasis imara hata kingwendu mbona anatawala good tu.Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation!
Tulitegemea wangelianya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa wanaume na hivyo wangelijitahidi kuonesha uwezo! Kumbe bado kabisa.
HILI LA SAMIA KUMVUA SLAA HADHI YA UBALOZI AMECHEMKA SANA NA KUWADHALILISHA WANAWAKE KATIKA HARD THINKING!
Wakae jikoni kwanza, wapike, walee watoto etc etc! And then usiku/Jioni iwe yao...........................
Siri gani? Hamna kituHivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?
Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Hata Mirembe wanakiongozi wao!!!Sawa, lkn ndiye Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu
Magu nae hizo Siri anapewa na nani? Wanaompa wanajua kuliko yeye actually walikua wa kwanza kuzijuaHivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?
Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Anabifu zake tu na Maza, mbona Ellen Sirlief wa Liberia aliitoa kwenye migogoro isioisha na kuirudusha kwenye msitariAfrica gani?
Hoja ya jinsia inasimama sana. uwezo wa kukaa na kufikiri kuwa hili hapana, nasimama na maamuzi yangu mwenyewe!Mbona sasa unajipinga mwenyewe?
Kwamba africa bado sana mwana make kushika madaraka makubwa kama ya u rais.
Kwamba mwanamke alitarajiwa afanye vizuri kwani anayo rejea ya makosa ya watangulizi wake ( AMBAO NI WANAUME) kwahiyo unakili kuwa wanaume wanakosea pia kama anavyo kosea mwanamke kwa sasa.
Kwa mantiki hiyo unasimama wapi kusema kuwa mwanamke hafai?
Mkuu makosa hayana jinsia, bali wakosaji.
Kama Samia anaangushwa na jinsia take, na watangulizi wake waliangushwa na nini?
Au imeibuka jinsia ya tatu ambayo haijawihi kupewa madaraka na sasa unataka ijaribiwe kwa kuipa madaraka?
Hoja ya ya jinsia hi haifai bali ile haisimami.
Alijisemea Mch MsigwaKwa hiyo kwa sasa tuseme kila aliyeupinga mkataba wa DPW ni adui yake..na wote waliounga mkono ni maswahiba zake..?
Huyu mama walimsifia ooh mpenda demokrasia..kiko wapi?? Demokrasia anayoiweza ni ile ya kwenye mfuko..we mpinzani wangu..nakupa asali ukae kimya.
Sasa kaona huwezi kuwa fool watu wote..akimtuliza yule, anaibuka mwabukusi, mara kina silaa wanaibuka..tumeenda mbali hadi kina prof Tibaijuka wanaibuka.
Kitendo alichofanya ni cha aibu mno..amekurupuka..ametia aibu hiyo nafasi hasa kwa yeye ambaye hakuchaguliwa kwa kura..hapa kweli utawalaumu vipi washauri wake?
Haya aifute na TEC basi.