Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

Slaa kwa Asili ni potential traitor; Amesaliti kanisa (kiapo Cha upadre), Amesaliti Ndoa, Alisaliti Chama Chake, Alisaliti allegiance yake kwa Dola. Kwa kifupi Slaa hawezi kuwa Balozi muaminifu.
Baada ya kuwa mkosoaji ktk suala la bandari ndio ndio unasema haya!!??
 
Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Siri gani wewe? Ndio shida ya hii katiba yaani kila kitu last say hutoka kwa rais. Hapo Samia kafanya maamuzi kuwafurahisha ccm....hakuona athari kwa upande wake na taifa.
Urais wa kuokota kweli umegeuka zigo la mavi.
 
Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Hivi ulifatilia kazi alizofanya Kama balozi, na umeshafatilia kazi za mabalozi wengine ukazilinganisha.
 
Rais kutoka QT hadi kuwa rais ulitegemea maajabu gani ,halafu eti wanamwita Dr. mpuuuiiiii...
 
Mbowe pia na hisi kuna burungutu la minoti laipewa ,soon huyu mama atampandisha kizimbani
 
Mnamo Novemba 2018 Magufuli alimvua Alfayo Kidata hadhi ya ubalozi, kwani naye alikuwa mwanamke?

Jifunze kujenga hoja zenye mashiko kabla hujaingia JF na kuandika utumbo
 
Hii inaonyesha kuwa huyu Mama ana maslahi makubwa sana na huu mkataba, kwa hiyo kila anayepinga anampinga yeye.
Waliosapport wote kawapa ulaji, wanaopinga anawafunga na kuwapa kesi, Why????
 
Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Kwako wewe qualification ni nini? Ya kuwa balozi? Embu wataje mabalozi wote wa kila nchi na qualification zao.
 
Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
I wondered
 
Mnamchukia Samia bila sababu na mnalazimisha sababu za uwongo. Soma kiambatisho hapa ujione ulivyo ZERO BRAIN
 
Mtamaliza vilio kifo ni kilekile.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Na yule wa liberia nae alibebwa?
 
Mtamaliza vilio kifo ni kile-kile.

Kazi ya Mungu haina makosa.
 
Nini Samia, hilo kanisa lake lenyewe lilishindwa kuvumilia likamvua Upadri.
Huyo ni mshenzi tu hakustahili hiyo hadhi ni vile Magufuli alikuwa anaendesha biashara ya binadamu akamnunua
 
Lakini si yeye mwenyewe Dk. Slaa alisema hata akinyang'anywa hadhi ya ubakozi hatishiki? Au alikuwa anatishia nyau?
Dr Slaa alipewa Ubalozi wa Dunia na Papa Yohanne Paul II alipozuru Tanzania

Achana na Ubalozi wa Mchongo wa Magufuli
 
Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Hakustahili hata kidogo
 
Elimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…