Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

It was just a coincidence, hatuwezi kuchagua mwanamke kuwa raisi wa nchi hii katu. Huko marekani hawajawahi kuwa na female potus, iwe huku??

Hata hivyo African presidents wamekuwa walafi, waroho na watu wa hovyo sana.
 
Kwa hiyo Ubalozi ni zawadi ambayo ni lazima uitunze kwa kuwatumikia waliokutunuku, ukienda kinyume wanakifyeka cheo chao.
 
Hivi duniani kutakuja kutokea Tena wamama hawa.
Yule mama wa Philippines sijui nani akwino..halafu mama wa uiengereza Magreth thatcher na cancelor wa ujerumani aliestafu juzi nani sijui jina nimemsahau ..pamoja na mama Indira Gandhi wa India .

Hawa nilikuwa nawaita Strong woman.
 
Sio kwamba hawayajui hayo, ila hawampendi tu Mama
 
Mwanaume siku zote ni mwanaume haijalishi mama yake kamzidi umri tambua mwanaume akili yake ni kubwa kuliko mwanamke note that
🤣🤣Unasema umezaliwa na mjinga halafu uwe na akili kubwa?ipi hiyo?
Wewe mwenyewe hapo kajambanani huna mbele Wala nyuma halafu akili kubwa?
 
Watu kama ninyi ndio mnaofanya wadhalimu waendelee kuwa wadhalimu...

Very low IQ
Very low IQ Gani wakati niliteseka sana kipindi Cha jpm. Kwa nini nisione mama kaletwa na mungu kutuescue sisi wanyonge ambao hatukuwa na pa kutokea
 
Nadhan tatizo kubwa ni mfumo wa Nchi hii ndio haimpi mwanamke credit ya ku perform well kweny nafas hiyo cz.. mfumo wa utawala wa CCM ni wa"One man show"!! So ndio maan ukiangalia kila atakae shika madaraka anakuja na lake kichwan hata kama halipo kweny ilani ya chama!! But ingekua ni Nchi yenye taasis imara hata kingwendu mbona anatawala good tu.
 
Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Siri gani? Hamna kitu
 
Samia wa sasa akiwa Rais hana tofauti na Samia yule aliyekuwa makamu wa rais.
 
Magufuli alimvua ubalozi alphayo kidata kwakuwa ni mwanaume alikuwa sawa ila kwa mama samia imekuwa hana uwezo. Pumbavu zenu kabisa

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Magu nae hizo Siri anapewa na nani? Wanaompa wanajua kuliko yeye actually walikua wa kwanza kuzijua
 
Hoja ya jinsia inasimama sana. uwezo wa kukaa na kufikiri kuwa hili hapana, nasimama na maamuzi yangu mwenyewe!

Huyu hana analolisimamia, anayumba. Leo 4R, maridhiano and many others hakuna analolipigania, anayumbishwa na kila anayemkaribia. Simamia unaloliamini, power is invariably personal, there is no group power. Lazima uwe na kitu rohoni mwako kama Mkuu unachokisimamia.

Akina Kinana wanamyumbisha na hawezi kusimama. Huyu kesho ukimwambia kuwa wabaya wako ni Roman Catholic Bishop na waraka wao and therefore tuwaua, atafanya. Au kuwa wakatoliki ndio wanasumbua utala wako tuwaue ata sanction! hawezi kusema hili hapana! not to that extent!

Mara contract ni za hovyo unaona kifungu fulani kibovu nawe unaruhusu kiwepo, DP World anapigania na vifungu vibovu kuwahi kutokea.

Mara waliongeza cha juu kwenye ndege, hakun aliyewajibishwa

WE ARE DONE!
 
Alijisemea Mch Msigwa
Akili ndogo kuongoza akili kubwa
Aliyefeli form four anajilinganisha na mtu aliyegraduate PhD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…