Africa bado sana mwanamke kushika madaraka makubwa kama ya Urais

Hivi katika thinking Yako uliamini kabisa kabisa kuwa Slaa Ali-qualify kuwa na hadhi ya Balozi?

Anyway, Magufuli aliwahi kusema "Mnadhani Kuna Mtu anajua Siri za Nchi hii kama Raisi?"
Tumkosowe mama kwa mengine, Dr Slaa alihongwa ubalozi na Magufuli hana sifa ya kuwa balozi.

Dr Slaa ni mwanaharakati na siyo mwanadiplomasia.

Balozi huwezi kuwa mwanaharakati, alichofanya mama ni sahihi ili kumpa Dr Slaa kufanya harakati zake vizuri bila kuwa na kikwazo cha ubalozi.
 
Ajabu huyo mnayemkandia ndo kawazaa
Simba hazai mbuzi
So kama mama yako ni kilaza nawe ni kilaza plus

Tofautisha kukandia na kusema ukweli kukuzaa ni wajibu wake, wewe kumpa mimba mwanamke ni wajibu wako bila ww yeye hajazaa.

Na ukitaka ujue jeuri yao wajue huwezi tungisha mimba utatamani dunia ipasuke udumbukie!

Mwanzo 3:16


Acha kutia huruma pasipotakiwa ukicheka na hao viumbe utadharaulika brother fanya iliyo wajibu wako
 
Usishindane na mwanamke mwenye madaraka utaumia
 
[emoji1787][emoji1787]Unasema umezaliwa na mjinga halafu uwe na akili kubwa?ipi hiyo?
Wewe mwenyewe hapo kajambanani huna mbele Wala nyuma halafu akili kubwa?

Wapi nimesema nimezaliwa na mjinga tofautisha kuwa na akili kuliko mwanamke sio ujinga

Na hadi kukupa hiyo elimu ambayo huna naamini nakuzidi kitu

Ila wewe huna cha kunifunza!
Ndo maana nakupa ushahidi wa biblia unayoiamini ila wewe huna huo ushahidi wa kuni-convince nikubaliane na hoja zako!

Hunijui tu ila naamini hunizidi kitu zaidi ya kunizidi ujinga tu!

Ok nenda kaimbe nani kama mama!
 
Hujui huyu mama anayopitia laiti angekupa siku yake moja ungeacha urais,kiufupi hajiendeshi anaendeshwa ujue hilo mwombe,akupe only one day
 
Hata wanaume nao mbona wanafanya hivyohivyo. Nadhani hayo unayoyasema ni tatizo la "stereotyping" zaidi kuliko reality. Mfano, nchi za Afrika zinazopinduliwa viongozi wake hawakuwa wanawake na moja ya sababu ni kuto'deliver'. Hivyo, naona kama unatoa 'wholesale judgement'.
 
Tanzania na Malawi kuna jambo kubwa mmejifunza,mgombea Urais usije kubali mgombea mwenza awe mwanamke,ukikaidi utakufa kabla ya kumaliza ngwe yako,Waulizeni Bingo wa Mutharika na Pombe Magufuli .
 
Watangulizi wake WANAUME- tuseme nini juu ya makosa yao?. Je itatosha kuhitimisha kuwa wanaume hawafai/bado sana kupewa madaraka??
Makosa si ya kike au ya kiume, anaye kosea awwza kuwa me au ke.
 
Mnajua kujitesa haki ya nani! Poleni
 
No. Tatizo ni elimu, elimu, elimu na professionalism. Nadhani Tanzania kuna dhana elimu si muhimu katika chochote, na kwamba yeyote anaweza kufanya chochote, mradi awe ameumbwa na aina fulani ya ujanja. Ndipo utakuta mtu kasomea kuwa chef, kwa Tanzania aweza apewe Uwaziri wa Nishati!
90% ya Mawaziri hawakusomea hivyo wanavyoviongoza na kama wamesomea Shuleni, Vyuoni...hawakuchukua masomo maalum ya kuwa professionals na wala hawaku practise popote wakaonekana uweo wao, wakiwemo marais. Wale wachache wanaotokea kufanya vyema, ni bahati tu, si plan.
Ni katika kila kitu Tanzania, hakuna specialization, hata michezo. Ndiyo maana mashindano yaliyopita ya dunia ya riadha hakuna hata medali moja. Licha ya medali, sidhani kama kuna hata mwanariadha wa Tanzania....kwa aibu. Na Waziri yupo anakula mamilioni yake. Hii nchi yataka mabadiliko makubwa sana.....kama yale ya Ufaransa na Rwanda combined!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…