Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahaka moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. iuchumi, siasa, na huduma za jamii.
Huduma na maendeleo yetu yako chini relatively kulinganisha na zile za mabara mengine. Hii inaonyesha kuwa kuna common factors zinazolifa
Tunaweza kuuana bure wenyewe kwa wenyewe kwa sababu nyingine za uongo na kuficha sababu halisi za kuuana.
Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahaka moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. iuchumi, siasa, na huduma za jamii.
Huduma na
Tunaweza kuuana bure wenyewe kwa wenyewe kwa sababu nyingine za uongo na kuficha sababu halisi za kuuana.
Ndio maana nasema vyama vya upinzani havijaleta nafuu katika nchi zao hata kama vilipewa nafasi ya kuongoza. Walichofanya ni kupewa nafasi ili iwe zamu yao tu ya kufanya mambo yaleyale kwasababu kuna sababu nyingine za kwanini hali yetu Afrika iko hivi kando ya utawala.Hivi unajia bado kuna vyama vingapi vilivyopigania uhuru na bado vipo madakani? Kwa taarifa tu havizidi sita.
Sasa tuambambie hizo nchi zina maaendeleo gani kuzishinda nchi zinazoongozwa na vywama vya upinzani Kama unavyodai wewe....!!?
Uko sahihi, basi ccm tokeni madarakani ili wananchi waamini hizo sababu unazosema. Sio uone huwezi kufanya maisha ya wananchi wainuke, lakini hutaki kutoka aingie mwingine ambaye unajua naye atashindwa.Ndio maana nasema vyama vya upinzani havijaleta nafuu katika nchi zao hata kama vilipewa nafasi ya kuongoza. Walichofanya ni kupewa nafasi ili iwe zamu yao tu ya kufanya mambo yaleyale kwasababu kuna sababu nyingine za kwanini hali yetu Afrika iko hivi kando ya utawala.
Hakuna takwimu kuwa ukiachiwa wewe Ikulu nchi itakuwaje na wananchi watakuwaje. Tuambie hata kwa kutudanganya tu nini utafanya kwenye kilimo, ajira kwa vijana, uvuvi, elimu, afya, viwanda tofauti na anavyofanya CCM. Mfano, Trump yeye aliwaambia wapiga kura wake kama wakimchagua atafukuza wahamiaji haramu wote na kurejesha viwanda vilivyokuwa vimehamishiwa Asia virudi tena Amerika wakampa kura, na kweli alipopata urais akawatimua wahamiaji kama alivyosema na kujenga ukuta mpaka na mexco. Nyie sera zenu ni zipi ili tuwape kura au tusiwape kura? Hii ya kuikejeli CCM na viongozi wa serikali sio sera wananchi wanayoitaka, labda wananchi lakini wanaovuta bhangi.Uko sahihi, basi ccm tokeni madarakani ili wananchi waamini hizo sababu unazosema. Sio uone huwezi kufanya maisha ya wananchi wainuke, lakini hutaki kutoka aingie mwingine ambaye unajua naye atashindwa.
Sikubishii, sasa wewe nionyeshe chama cha upinzani cha nchi gani Afrika ambacho kilibadilisha namna mambo yalivyokuwa huko nyuma na sasa vijana wanapiga vigelegele na vifijo kwa furaha ili nasisi tuseme naaam!! tufanye kama wale.Hata ASP na TANU vilikuwa vyama vya upinzani, vilipopewa madaraka vimebakia kuteka raia wake na kukopa pesa nje. Very stupid
Hakuna nchi Africa iliyopata maendeleo kwa kuongozea na chama kilicholeta uhuru miaka ya 1960Huwa nafuatilia sana siasa za dunia na Afrika. Afrika yote ni kama vile inaongozwa na Rais mmoja, bunge moja, mahakama moja na baraza la mawaziri moja. Hali yetu inafananafanana kwa kila kitu. kiuchumi, siasa, na huduma za jkweli wapiga kura wao kwa kutumia sera zao safi au mbaya ili wananchi wachague wenyewe sera za chama gani ni bora.
Tunaweza kuuana bure wenyewe kwa wenyewe kwa sababu nyingine za uongo na kuficha sababu halisi za kuuana.
Sera wanaambiwa wapiga kura, kisha wanaamua kupitia box la kura. Na wala sera sio hadi ziwaridhishe ccm.Hakuna takwimu kuwa ukiachiwa wewe Ikulu nchi itakuwaje na wananchi watakuwaje. Tuambie hata kwa kutudanganya tu nini utafanya kwenye kilimo, ajira kwa vijana, uvuvi, elimu, afya, viwanda tofauti na anavyofanya CCM. Mfano, Trump yeye aliwaambia wapiga kura wake kama wakimchagua atafukuza wahamiaji haramu wote na kurejesha viwanda vilivyokuwa vimehamishiwa Asia virudi tena Amerika wakampa kura, na kweli alipopata urais akawatimua wahamiaji kama alivyosema na kujenga ukuta mpaka na mexco. Nyie sera zenu ni zipi ili tuwape kura au tusiwape kura? Hii ya kuikejeli CCM na viongozi wa serikali sio sera wananchi wanayoitaka, labda wananchi lakini wanaovuta bhangi.
kama huna sera zinazopimika ni heri tu ukazuiwa kwa nguvu zote usifike Ikulu, maana huna cha kufanya unataka ukapate cha kufanya utakapofika Ikulu. Hiyo inawezakuwa hatari kwa taifa. Wewe tuambie tu kuwa sisi tutakapofika Ikulu pale tutafanya yafuatayo kwenye Kilimo, kwenye umeme, kwenye usafiri, kwenye elimu, nk
Kwako wewe maendeleo ni nini?Hakuna nchi Africa iliyopata maendeleo kwa kuongozea na chama kilicholeta uhuru miaka ya 1960
CCM ina wajibu wa kukwambia wewe muongo unawalaghai watoto wasiokuwa na exposure kama yako. Ndiyo maana Nyerere ilimlazimu kutoka mafichoni na kwenda kumpigia kampeni Mkapa na kumwambia Mrema wewe muongo, na alikuwa muongo kweli. Asingefanya vile mrema angechukua nchi kwa uongo na asijue anaipeleka wapi.Sera wanaambiwa wapiga kura, kisha wanaamua kupitia box la kura. Na wala sera sio hadi ziwaridhishe ccm.
Zama za Nyerere zilishapita, kizazi hiki kinajitambua. Naona unadhani hiki ni kizazi cha kuchaguliwa mke/mume na wazazi. Usitake kufanya kuwa ccm ndio wana haki ya kufanyia wananchi maamuzi. Box la kura liheshimiwe, anayeshinda atangazwe sio hizi porojo zako za mbio za mwenge.CCM ina wajibu wa kukwambia wewe muongo unawalaghai watoto wasiokuwa na exposure kama yako. Ndiyo maana Nyerere ilimlazimu kutoka mafichoni na kwenda kumpigia kampeni Mkapa na kumwambia Mrema wewe muongo, na alikuwa muongo kweli.
Onyesha sasa nchi ya Afrika iliyoendelea kwa kukiangusha chama cha ukombozi. Simpo.Hakuna nchi Africa iliyopata maendeleo kwa kuongozea na chama kilicholeta uhuru miaka ya 1960
Watu weusi ni mifugo tu inayoweza kuongea, ila ubinadamu wao, bado muumbaji wao yuko maabara anawatengeneza akili ikae sawa.Ndio maana nasema vyama vya upinzani havijaleta nafuu katika nchi zao hata kama vilipewa nafasi ya kuongoza. Walichofanya ni kupewa nafasi ili iwe zamu yao tu ya kufanya mambo yaleyale kwasababu kuna sababu nyingine za kwanini hali yetu Afrika iko hivi kando ya utawala.
Nani halipi kodi nchi hii ww mfuata Mkumbo? Hizo bidhaa na huduma mlizojaza makodi inakuwaje? Ama hujui unaloongea?Onyesha sasa nchi ya Afrika iliyoendelea kwa kukiangusha chama cha ukombozi. Simpo.
lazima tumsake na tumtaje hadharani adui yetu halisi Afrika badala ya kuparurana wenyewe huku adui yetu akiwa anachekelea pembeni anatuangalia.
Mtu ambae alikaribia kabisa kumkamata huyo adui alikuwa Magufuli.
Nadhani watu wote kufanyakazi na kulipa kodi sawasawa ndiyo adui yetu namba moja rahisi tunaemfahamu. Wazungu wanafanyakazi na wanalipa kodi kwa nguvu na kwa hiyari. Sisi hatufanyikazi na hatulipi kodi. Viongozi wetu wanaogopa kutoza kodi watu na kuwalazimisha watu wote wafanyekazi kwa kuogopa kukosa kura. Na mwasisi wa jambo hilo alikuwa Mwl. Nyerere. TANU ilipata wanachama wengi wakati wa ukoloni kwaahadi kuwa atafuta kodi kama tukipata Uhuru.
mtanga, wanasiasa wamefanya kenya kwenda kununua mahindi zambia huku TZ bei ikidororaAfrika watu wanabweteka ,kulaumu tu viongozi ,dini na ukoloni.
Wakati mpaka wazungu walifanyiwa ukoloni ,watakuambia china hakuna dini labda kama china ya sayari ya Pluto...Wanashikiwa akili na wanasiasa ambao wanatafuta unafuu wa maisha ,uliona wapi wanasiasa wakaleta maendeleo.