Afrika hakuna nchi vyama vya upinzani vimeleta nafuu kwa wananchi vikifika Ikulu

Uko sahihi, basi ccm tokeni madarakani ili wananchi waamini hizo sababu unazosema. Sio uone huwezi kufanya maisha ya wananchi wainuke, lakini hutaki kutoka aingie mwingine ambaye unajua naye atashindwa.
Wapumbavu hao wanawaonea wivu wananchi wakipata viongozi wengine.
 
Hata hivyo nimekutaka uniambie ni nchi gani Afrika ambazo vyama vya siasa vilivyokuwa vya upinzani vilivyopata nafasi ya kuwa vyama tawala vimebadilisha upepo mbaya uliokuwa nchini ya vile vyama vya ukombozi. Kule Zambia Chiluba na chama chake walimpiga chini tena, kule Malawi ndiyo usiseme, kule Kenya hawamtaki hasla mwenzao Kasongo aliyewahadaa kupata Urais. Libya, Somalia, Sudani au wapi?
Wewe hoja yako ni nini!? Kuhalalisha wizi wa kura hata kama wenye nchi hawakutaki!? Au kuendelea kuwaibia wananchi kwa kuwa wakiingia wengine wewe utakosa cha kuiba!? Haijalishi wananchi watabadilisha uongozi mara ngapi, hilo ni juu yao wala si juu yako kuhoji.
 
Unapochagua chadema unachagua nini? Unachagua chadema kwakuwa CCM wanaiba au kwakuwa umeichoka CCM?

Sijasikia chadema wanakwenda kufanya nini Iluku cha tofauti mimi hata niseme naam wacha niwajaribu.

Demokrasia sio kitu cha maana sana kwangu

Hoja yangu hapa ni neno demokrasia lisituumize vichwa ndugu kwa ndugu, halina hadhi kwa Afrika, maana hatuna asili nalo. Kwenye familia na taasisi zetu zote hatuna demokrasia, utafanya kile mkubwa wako na mwalimu wako atakachokuambia. Hata huko neno la demokrasia lilikotoka (Magharibi) hakuna demokrasia, vijana wamejaa magerezani, wanauana sana kuliko huku kwetu.

Nchi za Magharibi ambako neno demokrasia linatoka ndiko wanaoongoza kwa kubwaga mabovu, kuteka na kuua watu wasiokuwa na hatia ndani ya nchi zao na kwenye nchi nyingine; Iraq, venezuella, Ukraine/Urusi, Libya, DRC, Palestine, Yugoslvia, nk.

Mungu hakutengeneza wala kuleta demokrasia, alichokitengeneza na kukileta kwa viumbe wote ni survival of the fittest (mwenye nguvu mpishe atawale); nchi za magharibi walifanya hivyo na wanafanya hivi hata sasa. Hii ya kusema tengeneza tume huru ili hata vibaka waende Ikulu sio mpango wa Mungu, hata wazungu hawafanyi hivyo. Wazungu wanamwanga pesa za kampeni na sera zinazoshindana kwa namna ya surival of the fittest. Atakaechangia fedha nyingi kama wakishinda atapata ulaji.

Chadema kusanya nguvu za kutosha kuitoa CCM na sio CCM ikupishe uende Ikulu; ukibondwa usilalamike mshukuru Mungu kajipange tena. Dola za Roman, British, Ottoman, Griki zilipanda na kushuka kwa falsafa ya survival of the fittest, sio kwa demokrasia.

Ninachotaka kusema hapa, demokrasia sio bidhaa inayoweza kuwa transported from Magharibi to Africa. Hiyo bidhaa haina walaji Afrika. Sisi huku Afrika tumezoea watoto wa baba na mama mmoja wananyimwa urithi wa wazazi wake kwasababu tu wao ni watoto wa kike, na mambo yetu yanakwenda tu smoothly bila malalamiko, kitu ambacho hakiwezekani kabisa huko magharibi tunakoiga demokrasia. Tena hapa kwetu utamkuta hata Prof wa kike nae pia kanyimwa urithi wa wazazi wake na mambo yaanakwenda smoothly. ndio maana hata chama cha upinzani kikienda Ikulu hakuna kitu kipya kitafanya, watayafanya yaleyale waliyoyakuta wenzao wanayafanya.

Yaani unategemea Heche Mkurya akienda Ikulu ataongoza kwa haki na kidemokrasia, thubuutu, tuache ujinga huu wa kupumbazana. Kama mna ubavu iondoeni CCM acheni kuliakulia; the survival of the fittest, hata wadudu, ndege na wanyama wanaishi hivyo.

Hata Oct29 chadema walikuwa sahihi na CCM walikuwa, the fittest won the struggle and the weakest bowed.
 
Mpumbavu wewe wananchi ndio wanaamua nani wampe nchi. Kwa nini au kwa sababu gani huo ni uamuzi wao. Wewe unahoji ili iweje!? Unajua nini!? Wewe ni mmoja wa wale wanaoishi kwa kuwa tu sheria imekataza kuwaua.
 
Back
Top Bottom