Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Unajibu nilichokuuliza ama unaserebuka tu? Mnyika alisema shilingi ngapi za wazungu karudisha na lini? Pia nimekuambia nitajie cdm wanapata shilingi ngapi toka kwa wazungu, kisha nikupe figure halisi nchi inayopokea toka kwa wazungu, kisha tulinganishe nani ni mfaidika halisi wa pesa za wazungu. Huna lolote unalojibu zaidi ya kuleta porojo zisizo na kichwa wala miguu.Mnyika alitangaza hadharani kuwa amerudisha fedha za wazungu ambazo hazikutumika, zimekosa activity. Nchi ni yetu tunaelimishana tu huma usiwe too much defensive, inawezekakana wewe na mimi hakuna anaepata hata sh 1 ya CCM wala chadema. Tuongee facts. Mimi sina ugomvi binafsi na chadema, ni madau tu wa ukweli, amani na utulivu baasi. Hata yule Mzee Lwaitama ni mwalimu wangu wa communication skills pale chuoni kwake, nampenda sana, ni rafiki yangu.
Ni hivi, huku jukwaani sio kule kwa wajinga mnaowahutubia bila kuhoji lolote. Nasisitiza kama hoja imekushinda kaa kimya boss.