Wabongo wanajihusisha kwenye dili za magamushi sanaKwa ninj rate ya warundi kuuawa kiwanja sio kubwa kama wabongo? Naombeni jibu
Sijui ni huyu au la lakini Leo kwa redio hapa Johannesburg kulikuwa na tangazo la kuuawa kwa mtanzania anayeitwa Omary!
Wabongo wanajihusisha kwenye dili za magamushi sana
Mrundi labda atajihusisha kwenyw utapeli sana sana
Alafu unajuwa warundi walianza pia kusafiri kwenda nje kitambo sana mkuu
Ova
Wenzetu kama sehemu kuna connection au fursa ya kitu fulaniNdio mrundi alianza kutoka nje na ndani ya afrika kitambo hiyo america kwao sio issue. Europe huwakosi nchi yoyote then wanyarwanda nao kitambo wanasafiri tena kihalali halafu wanaitana kwenye dili za kueleweka, wabongo uoga na maisha marahisi yalitulemaza sana hata wanaotoka wengi hawakujua waanzie wapi, juzi nimeona mtu anazingumzia mtumba mnazi mmoja nikakumbuka miaka ya mtumba wa magendo unatoka burundi kurudi bongo, yaani michoro wengine waliipata kitambo, kama wazimbabwe zamani walifuata bidhaa Zanzibar enzi south yupo mkaburu, mrundi aliingia nairobi anachukua oil za magari anapeleka kuuza harare hadi bulawayo, kwahiyo sisi tukaingia kichwakichwa na kurithishana dili za magumashi mtu akienda bondeni akirudi na raba na jinzi basi unatamani na wewe kumbe jamaa mwenyewe ni mwizi tu hiyo mbaya sana
Kwanini wauae wa tanzania sio wa zimbabwe au wa Kenya? Vijana wetu wanakasoro fulani katika maisha uko ughaibuni
vijana wengi wa Tanzania ni unskilled, Vijana wengi wa Tanzania wana upeo mdogo kutokana na elimu duni waliyoipata wakiwa hapa nyumbani.
Survival ya vijana wengi wa Kitanzania ughaibuni niyakifala saana kufananisha na vijana wengine wa mataifa mengine ya Africa.
Wakulaumiwa ni serikali ya CCM toka uhuru kwakuwapumbaza vijana kwa kuwapa elimu duni, kutukuza ujinga ujinga kwa maslahi ya kisiasa, kutotilia mkazo lugha ya kiingereza kwa kuleta siasa za ujamaa na kujitegemea, kuwaaminisha vijana umasikini pia ni moja ya class katika maisha...
Ahsante ndugu yangu.Tenda wema, kisha nenda zako. Uwe na uhakika kwenye hili, kila wema, au ubaya atendao mtu hulipwa na Mungu sometimes inaweza isiwe kwako bali kwa uzao wako. Be grateful.
Tatizo wabongo wanapenda shortcut.
Wote uliowapost wanaonekana kabisa ni vibaka.
Wabongo mkishafanikiwa kidogo mnakuwa too judgemental. Kuwa na sura fulani haihalishi kuuawa au wewe ni mhalifu. Vinginevyo wengine na hizi sura zetu tungekuwa tushachomwa moto.Zipo sura hata mtu ukiambiwa huyu anaishi nchi ya nje ya Tanzania ni vigumu kuamini huyu ilitegemewa umkute jela tena jela za bongo za wale walioshindikanaView attachment 2485017
Kama huyu hapa hata mtaani kwangu ninakoishi huku Mbezi Makabe shamba sijawahi kukutana na sura kama hii for years labda sogea sogea Manzense au Kigogo ile ya Mburahati ya wakorofi ila nashangaa nasoma kaenda fia South Africa,how!?
Huko watu kama hawa zaidi ya kwenda kufanya uhalifu hakuna lingine.
Mkuu huyu jamaa naweza kuwa namfaham au lah, maybe nijue ulimtoa eneo gani coz kuna kiumbe mmoja alitokea ktk kijiwe changu cha kazi hapo Dar miaka ya 97 but alichukuliwa kuelekea huko until now nasikia familia yake inakula matunda fresh!.Mimi nina mbwa nilimpeleka huko namuita mbwa kwa sababu kafanikiwa na amepata uraia, na maisha yamenyooka, lakini mbwa yule kasahau fadhila nilipokwama nikahitaji msaada wake.
Mkuu nakuunga mkono. Pia mimi kwa uzoefu wangi sidhani kama kuna haja ya Mtanzania kuingia kwa njia za panya kwa hizi nchi majirani zetu. Hatuna jina baya kihivyo vibali tunapata kirahisi kuliko wacongo, waburundi, hata wanyarwanda.Nakuunga mkono kwa 100% , na ulibadilika baada ya kupata muongozo sasa wenzako hawana hiyo bahati kwanza tunadanganyana kwa madiba mserereko hakuna kitu kama hiyo na wabongo wenye vyeti wachache wengi wanaishi kimagumashi sana, hata awe na pass unakuta muhuni kapitisha miaka kibao, acha wale wanaodandia maroli kutoka malawi au wanapita maumbiji kwa kuchana senyenge, zote hustle lakini kwa dunia ya sasa tuelezane ukweli bila hivo tutapoteza wengi
Sijawahi kutamani kwenda huko hata siku moja nchi karibu vijana wengi wana mapengo. Mimi nitaenda Rwanda tu.