Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Acha mbwembwe we muhaya
 
UONGO. USA WAMESHAMWAMBIA KAGAME AACHANE NA HUO UGOMVI.
 
Kijiwe au baraza la β˜•
 
Sasa huyo kagame ..........kama tu kupigana na tanzania hawezi ..........tena sisi tunamuunganisho na wapemba wale raini raini kabisaa ndio aweze kupigana na south wazulu wakorofi kuliko ukorofi ...............
 
Kila vita inapiganwa kwa sababu maalumu sio kwa kutafta heshima, we ni mwanajeshi? Niambie kwa unavoona SA ana sababu gani ya kupigana na Rwanda?
Na hiyo sababu lazima iwe na maslai mapana ya Nchi, mfano tz tunaenda kupigana congo coz tumepewa eneo sehemu ya ziwa Tanganyika upande wa Kongo tumejenga bandari
 
Hahahah utakuwa unaota.
Unalijua na unaujua uwezo wa SA kijeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…