Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

Ongezea na mbinu nyingine kongwe ya vita ya msituni ni nguvu za giza. Unakuta wahuni mwilini wana vitambaa vyekundu mara vifundo vya dawa shingoni, mikononi na viunoni.
Haha tena kwa huko congo ndo kwenyewe .......wale waganga waliokua wanasikika huko kigoma wanawatengeneza majambazi ndo haohao wa huko msituni , wengi wanasaidia wapiganaji wa kule na pia kazi za kwenye migodi
 
Hii ni sababu mojawapo pia West wamekaa pembeni kabisa na hii issue ya Rwanda vs DRC, West au UN wakitoa kelele kidogo tu anatumia genocide kama kichaka cha kuwazodoa na kujifichia.
 
Hivi mti mkavu mnayem-hype humu ndio huyu ambaye aliguswa kidogo na kikosi cha walinda amani wa JWTZ akalialia kwenye jumuiya za kimataifa mixer M23 kushusha waraka wa malalamiko ama kuna mwingine?

Kumbuka hakuna jeshi la nchi yoyote hapa linalopigana kwa niaba ya DRC isipokuwa majeshi yote yanayoenda hapo yanaenda kwa oparesheni maalumu ya kulinda amani siyo kuwapiganisha waasi
 
Acha kuota
 
Nenda kanywe maji ukojoe na kulala mwanangu.
 
Majeshi yako kule for peace keeping not war. Mnavyomkuza mnasahau ni juzi tu hao m23 walikimbizwa na jwtz kipindi cha mkwere. Na Rwanda hayuko peke yake Kuna Mseven pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…