SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
- Thread starter
-
- #81
True true true ..so solution ni Tanzania ya viwanda...😀Waarabu walituletea dini, dini waliyonayo ni asili yao.
Sasa hivi ulienda kununua jembe unakuta ni chaos China wakati zamani tulikuwa na wahunzi wetu.
Hahaha...alikuwa anaumwa banaWalafi wanawamaliza
Shida sio rangi bana...Can we prove, Pieter Willem Botha wrong?View attachment 2731425
Indonesia, Malaysia, Singapore ni visiwa/nchi zenye mchanganyiko wa watu kutoka India, China na South Asia. Ndio hao hao.Alright kiranga hapo umeongea India tu...what about Indonesia na Malaysia na hata Singapore
Okay asa kusema hivi...u talking abt history...hatuwezi badilisha. So wat can we do now...ili tuendeleeIndonesia, Malaysia, Singapore ni visiwa vyenye mchanganyiko wa watu kutoka India, China na South Asia. Ndio hao hao.
Hapo sanasana utaongeza story ya China, ambayo ndiyo kama hiyo hiyo ya India, wana dini, maandishi, falme kubwa, kalenda kwa maelfu na maelfu ya miaka.
South Afrika mostly imejengwa na wazungu wadachi, Sio wazulu wazawa.Hamna kitu Kama ngozi ya laana hapo unapromote discrimination na kutojiamini..mbona south Africa wanaweza,
Okay but ukiweka conclusion hio...don't u think unaondoa motivation ya watu weusi kubadilika..coz ushawaambia hatuwezi...that's not a solution. Rangi haina effect kwenye akili ya mtu mbona marekani Kuna watu weusi wenye maendeleo Sana tu na wengine watu wenye akili Sana...South Afrika mostly imejengwa na wazungu wadachi, Sio wazulu wazawa.
Maendeleo ya south Afrika mostly yame pushiwa na wazungu.
Ngozi nyeusi ina laana wala si discrimination ila ndio Uhalisia ulivyo.
Mwafrika anaweza nini? Zaidi ya Wizi, Rushwa, Uhujumu uchumi, Ubadhirifu wa mali za umma, kujilimbikizia mali, ulevi, ngono na umbea.
Kama si laana, Ni nini hii?
Nakwambia hivi [emoji116]
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Jamani tuongee serious, nchi Kama India, Singapore, Malaysia, Indonesia zimepata uhuru almost the same time na nchi za kiafrika. Cha ajabu wenzetu wameendelea Sana halafu sisi bado tuna umaskini wa kutupa.
Afrika jamani shida ni Nini?
Utumwa na kutawaliwa sio sababu ya nchi kuwa masikini.Indonesia, Malaysia, Singapore ni visiwa/nchi zenye mchanganyiko wa watu kutoka India, China na South Asia. Ndio hao hao.
Hapo sanasana utaongeza story ya China, ambayo ndiyo kama hiyo hiyo ya India, wana dini, maandishi, falme kubwa, kalenda kwa maelfu na maelfu ya miaka.
Hawa ukoloni umewaingilia kidogo tu.
Halafu tusizahau wenzetu hawajaathiriwa na utumwa na kuachwa kwenye nchi zilizokuwa depopulated.
Ethiopia na Liberia Haziku tawaliwa kabisa na wakoloni.Shida sio rangi bana...
Kwanza kabisa mnatakiwa kuacha kuamini miungu ya watu.Okay asa kusema hivi...u talking abt history...hatuwezi badilisha. So wat can we do now...ili tuendelee
Tatizo unaangalia kitu kimoja badala ya kuangalia interplay ya vitu vingiUtumwa na kutawaliwa sio sababu ya nchi kuwa masikini.
Hakuna nchi ambayo haikuwahi tawaliwa duniani hata zilizoendelea zimewahi kuwa makoloni.
Umasikini ni matokeo ya fikra na sio mazingira
Nawewe unakosea zaidi ishu ni corruption au katiba zanchi husikaKwa kweli ...Lumumba aliongea ukweli. So issue kubwa ni corruption, wenzetu wapo serious Sana na kuondoa rushwa
Katiba Mpya ambayo kila Mtanzania atawajibika kuitii na kuiishi bila kujali cheo ama nafasi yake.So solution ni Nini haswa.
Hata Tupac Shakur Ali ogopa ngozi nyeusi,Shida sio rangi bana...
Inafikirisha...Kama nchi kuendelea ni vigumu saana. Lamsingi ni kutafuta maendeleo yako binafsi na familia yako.
NAKAZIA [emoji419][emoji375]watu weusi wamelaanika
Laana ni nini?Ethiopia na Liberia Haziku tawaliwa kabisa na wakoloni.
Lakini bado zina ongoza kwa UMASKINI mkubwa sana na hali duni kwa raia wake.
Nchi za Ulaya kama Norway, Denmark, Finland, Sweden, Poland, Haziku tawala nchi yeyote ya Afrika lakini leo hii zina Maendeleo makubwa sana kushinda nchi nyingi za Afrika hata hizi za Ethiopia na Liberia ambazo haziku tawaliwa.
Nchi hizi zimeweza kuendelea zenyewe bila kutawala nchi yeyote ile ya Afrika.
Sasa Afrika hata kwa nchi ambazo haziku tawaliwa leo hii zina Umaskini na maendeleo duni.
Kama si laana, Ni nini hii?
Bado nakwambia kwamba [emoji116]
Uafrika ni laana.