Angemtukana wangeliandika hapo na angepelekwa mahakaman kwa kumtusi Rais! Barua yao yenyewe unasema kwa kuwakosoa viongozi wa juu wa NchiKumkosoa muheshimiwa raisi kistaha siyo kosa!Ila nadhani meneja alitukana viongozi matusi mazito ya nguoni tena bila staha,Mama ameamua kumparuraš¬
Kwa jicho la mbali naona hata akikata rufaa hashindi.
Yaah,huu ndiyo ukweli!sheria zipo kwa ajili ya watu wenye hadhi Fulani.Hashindi si kwa sababu hana haki, ila ni kwa sababu hatuna organ yenye nguvu kumzidi raisi. Si bunge wala mahakama ambalo linaweza kupingana na matakwa ya raisi. A cursed state
Urusi iko wapi?Tanzania hatuna tofauti na nchi kama South Korea, Russia, Cuba na China ..... Bado tuko kule kule kwenye zama .... Naona itakuwa ngumu sana kutoka huko mpaka pale CCM itakapotoka madarakani.....!!
katiba mpya wananchi tuichambue sana iondoe madudu kama haya hii si nchi ya kifalme ni Republic, tusikubali waendeleze huu utamaduni tutafukuzwa kazi sote na Vasco da Gama!Yaah,huu ndiyo ukweli!sheria zipo kwa ajili ya watu wenye hadhi Fulani.
Wamesema kukashifu siyo kukosoaAngemtukana wangeliandika hapo na angepelekwa mahakaman kwa kumtusi Rais! Barua yao yenyewe unasema kwa kuwakosoa viongozi wa juu wa Nchi
Ni kweli,lakini ili ipatikane katiba inayofaa yatupasa wananchi tuache uoga Sasa.katiba mpya wananchi tuichambue sana iondoe madudu kama haya hii si nchi ya kifalme ni Republic
Bora wenzet na maeneleo wanayo.. Hizo nchi hatuzifikii kwa uchumi wala teknolojia.Tanzania hatuna tofauti na nchi kama South Korea, Russia, Cuba na China ..... Bado tuko kule kule kwenye zama .... Naona itakuwa ngumu sana kutoka huko mpaka pale CCM itakapotoka madarakani.....!!
Ondoa hiyo South Korea Apo,weka north koreaTanzania hatuna tofauti na nchi kama South Korea, Russia, Cuba na China ..... Bado tuko kule kule kwenye zama .... Naona itakuwa ngumu sana kutoka huko mpaka pale CCM itakapotoka madarakani.....!!
Kwa hiyo huko uliko unapinga mambo ya viongozi wako na fresh tu.....au kama wewe ndo kiongozi ...wa chini yako wakikupinga unawaacha fresh tuMambo ya kustaajabisha sana haya, bora siko huko serikalini maana wangenifukuza mapema sana sababu huwa siwezi unafiki.
Nchi hii hata ukiwa umejiajiri tabu utapata tuu!TANZANIA si rafiki kwa WATANZANIAMambo ya kustaajabisha sana haya, bora siko huko serikalini maana wangenifukuza mapema sana sababu huwa siwezi unafiki.
Level ya akina kibatala nk nkAkimpata wakili mzuri asiyeogopa vitisho anashinda kesi mapema
Ndio maana yake. Wakubwa wanapigiwa makofi na kusifiwa tu. Sio kuulizwa maswali magumuUtakuta kuna mtu ali screenshot alichoandika akatuma management.