Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Uhuru wa kuchana hotuba ya raisi? Bora Ujipige shaba ww mwenyewe maana usipofanya hivyo kuna watu watauchezea sana mwili wako na wakimalizana na ww speech itakayofata utaanza na nimekosa mm.......Tuko gizani sana, nahisi siku ikitokea mtu akachana hotuba ya raisi anaweza akapigwa shaba on the spot. Refer to what Pelosi did to Donald Trump πππ
Kuna mtu kamchoma,Utakuta kuna mtu ali screenshot alichoandika akatuma management.
Kweni hawakosei?π€kuwakosoa viongozi wa juu wa Nchi
Wewe unaishia Dunia gani? Unakumbuka kilichomfukuzisha Mafuru pale hazina? Alialikwa clouds 360, akahojiwa kuhusu malalamiko ya wananchi kwamba vyuma vimekaza! Akatoa sababu za kiuchumi ikiwa ni pamoja na serikali kubana matumizi, serikali kufanya miradi mikubwa inayochukua pesa nyingi Kwa pamoja hivyo pesa nyingi kwenda huko na hivyo kupunguza mzunguko wa ndani!Wapi tulikotoka?
Magufuli pamoja na kutukanwa kote hakuwahi kufanya upumbavu kama huu
Tokea yaliyomkuta Ndugai bado hukuelewa tu? Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuna uhuru wa kutoa maoni kisa maoni yenyewe anayatolea JF kana kwamba awamu iliyopita watu walikuwa hawamkosoi Jiwe humu JF.Kwani ameanza nae udikteta
Ila ni kwa mujibu wako Ila sio kwa mujibu wa βChineseβ na βRussiansβ.Raia wa Russia na China hawana tofauti na Wabongo, "not free to that extent"
Hahahahha unakuta kidemu kilikuwa kinamtamani ila mwamba hana ishu nae kikaona ndio sehem ya kumkomoa πππ ila wadada wambea kisenge.π€£π€£π€£π€£Kuna siku job kweny group la kitengo chetu . Kuna jamaa alikuwa ni msiri yaani ishu zake hataki mtu ajue yeyote Yule mi namfahamu coz tuliscore chuo pamoja na pia tumepanga mtaa mmoja...Basi tulikuwa tunataniana fanya "uoe " jamaa yeye ni bachelor ila ana demu wake wanapendana tu ...Sasa utani yeye akasema "kashaoa"
Duh ghafla kesho kaitwa na manager kwa nn kaoa bila ya kusema kwamba aonekane katengwa ila kiukweli jamaa ana hajaoa yaani kasema leo kesho ikawa ivyo. Kumbe Kuna kidada kimeenda mwambia manager
Ile ya Ndugai ilionesha true colors za Malkia wa nyuki mmiliki wa buyu la asaliTokea yaliyomkuta Ndugai bado hukuelewa tu? Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuna uhuru wa kutoa maoni kisa maoni yenyewe anayatolea JF kana kwamba awamu iliyopita watu walikuwa hawamkosoi Jiwe humu JF.
Kwahiyo enzi za Magu ni wafanyakazi wangapi unaowajua ambao walipotea baada ya kukosoa?Bora haya, ingekuwa enzi za Magu tusingeona notice mtandaoni badala yake tungesikia tu Meneja kapotea kaenda kutafuta maisha kwingineko
ππππππ wazee wa 23%Acha mambo ya kudhania. Kama katukana Kuna sheria ya mtandao haiuhusiani na ajira na kazi. Ni ujinga na uoga was wafanyakazi wetu. Ndio maana serikali imewaongezea shilingi elfu 8000 maana ndio wanachostahili.
Mshamba kweli, enzi za Magu meneja angetumbuliwa live wala hakuna ambaye mwenye cheo alikuwa ana uhakika na cheo chake. Uzuri magu hadi uharibu kazi ndio anakuzinguaKwahiyo enzi za Magu ni wafanyakazi wangapi unaowajua ambao walipotea baada ya kukosoa?
Aende CMA akakate rufaa ndani ya muda mfupi.
Huo ni UPUMBAVU
Samia wakati akiwa bado ni makamu wa Rais alisema Rais huwa hakosei.Hapana mkuu,nilichotaka kusema ni kuwa kwa Afrika boss hakosolewi hadharani.
Wengi tu kimya kimya.Kwahiyo enzi za Magu ni wafanyakazi wangapi unaowajua ambao walipotea baada ya kukosoa?
Acha maneno maneno ya wanasiasa kwa uncle Magu, lete ushahidi wa watu waliofukukuzwa. Kama hauna piga kimya.Mshamba kweli, enzi za Magu meneja angetumbuliwa live wala hakuna ambaye mwenye cheo alikuwa ana uhakika na cheo chake. Uzuri magu hadi uharibu kazi ndio anakuzingua
Kumbe Kolo kwenye ubora wako!Watumishi wa Umma wengine ni kichefu chefu sana, unakuta mtu yuko ofisini kazi kukaa mitandao ya jamii kutwa hafanyi kazi, na huko mitandoni kutukana na kukashifu serikali ya CCM kwa kila namna, Mtumishi wa hivyo ni hasara sana kwani productivity ni zero, in a week unakuta kafanya kazi say 10% tu, kazi mitandao tu, acha ajifunze hana adabu kama Manara.