Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Afukuzwa kazi ya Umeneja TRC kwa kumkosoa Rais Samia kuhusu tozo kwenye miamala ya simu na kukusanya mapato

Ndio tuelewe matatizo ya nchi hii hayasababishwi na Rais aliyepo bali mifumo mibovu iliyoasisiwa na Chama kimoja. Hivyo wale waliokuwa wanatukana vi(ki)ongozi waliotangulia walitambue hilo.

#We need reformations#
 
Tuko gizani sana, nahisi siku ikitokea mtu akachana hotuba ya raisi anaweza akapigwa shaba on the spot. Refer to what Pelosi did to Donald Trump 😂😂😂
Uhuru wa kuchana hotuba ya raisi? Bora Ujipige shaba ww mwenyewe maana usipofanya hivyo kuna watu watauchezea sana mwili wako na wakimalizana na ww speech itakayofata utaanza na nimekosa mm.......
 
Wapi tulikotoka?

Magufuli pamoja na kutukanwa kote hakuwahi kufanya upumbavu kama huu
Wewe unaishia Dunia gani? Unakumbuka kilichomfukuzisha Mafuru pale hazina? Alialikwa clouds 360, akahojiwa kuhusu malalamiko ya wananchi kwamba vyuma vimekaza! Akatoa sababu za kiuchumi ikiwa ni pamoja na serikali kubana matumizi, serikali kufanya miradi mikubwa inayochukua pesa nyingi Kwa pamoja hivyo pesa nyingi kwenda huko na hivyo kupunguza mzunguko wa ndani!

Baada ya hapo, alikutana na barua ya kutumbuliwa ofisini!
 
🤣🤣🤣🤣Kuna siku job kweny group la kitengo chetu . Kuna jamaa alikuwa ni msiri yaani ishu zake hataki mtu ajue yeyote Yule mi namfahamu coz tuliscore chuo pamoja na pia tumepanga mtaa mmoja...Basi tulikuwa tunataniana fanya "uoe " jamaa yeye ni bachelor ila ana demu wake wanapendana tu ...Sasa utani yeye akasema "kashaoa"


Duh ghafla kesho kaitwa na manager kwa nn kaoa bila ya kusema kwamba aonekane katengwa ila kiukweli jamaa ana hajaoa yaani kasema leo kesho ikawa ivyo. Kumbe Kuna kidada kimeenda mwambia manager
Hahahahha unakuta kidemu kilikuwa kinamtamani ila mwamba hana ishu nae kikaona ndio sehem ya kumkomoa 😂😂😂 ila wadada wambea kisenge.
 
Tokea yaliyomkuta Ndugai bado hukuelewa tu? Halafu mtu anakwambia sasa hivi tuna uhuru wa kutoa maoni kisa maoni yenyewe anayatolea JF kana kwamba awamu iliyopita watu walikuwa hawamkosoi Jiwe humu JF.
Ile ya Ndugai ilionesha true colors za Malkia wa nyuki mmiliki wa buyu la asali
 
Acha mambo ya kudhania. Kama katukana Kuna sheria ya mtandao haiuhusiani na ajira na kazi. Ni ujinga na uoga was wafanyakazi wetu. Ndio maana serikali imewaongezea shilingi elfu 8000 maana ndio wanachostahili.
😂😂😂😂😂😂 wazee wa 23%
 
Mshamba kweli, enzi za Magu meneja angetumbuliwa live wala hakuna ambaye mwenye cheo alikuwa ana uhakika na cheo chake. Uzuri magu hadi uharibu kazi ndio anakuzingua
Acha maneno maneno ya wanasiasa kwa uncle Magu, lete ushahidi wa watu waliofukukuzwa. Kama hauna piga kimya.
 
Watumishi wa Umma wengine ni kichefu chefu sana, unakuta mtu yuko ofisini kazi kukaa mitandao ya jamii kutwa hafanyi kazi, na huko mitandoni kutukana na kukashifu serikali ya CCM kwa kila namna, Mtumishi wa hivyo ni hasara sana kwani productivity ni zero, in a week unakuta kafanya kazi say 10% tu, kazi mitandao tu, acha ajifunze hana adabu kama Manara.
Kumbe Kolo kwenye ubora wako!
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom