rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kuna maamuzi ya kisasa na kisheria sana sana atamchelewesha ila atapata haki yakeAnashinda mapema kivipi wakati ameelekezwa kukata rufaa tume ya utumishi wa umma ambako nako licha ya rufaa kusikilizwa baada ya miaka 3 toka kuwasilishwa, watasema rufaa yake haina mashiko na kisha watamwelekeza akate rufaa kwa Rais wa JMT, huko maamuzi yake ushajua yatakuaje. Usisahau kuwa Rais anaweza kutoa maamuzi ya rufaa hiyo hata baada ya miaka 4...umapema unatoka wapi happ mkuu?
Ni Mafuru pekeake ndio alitumbuliwa wakati huo?Wewe unaishia Dunia gani? Unakumbuka kilichomfukuzisha Mafuru pale hazina? Alialikwa clouds 360, akahojiwa kuhusu malalamiko ya wananchi kwamba vyuma vimekaza! Akatoa sababu za kiuchumi ikiwa ni pamoja na serikali kubana matumizi, serikali kufanya miradi mikubwa inayochukua pesa nyingi Kwa pamoja hivyo pesa nyingi kwenda huko na hivyo kupunguza mzunguko wa ndani!
Baada ya hapo, alikutana na barua ya kutumbuliwa ofisini!
Kihallisia Hilo suala sidhani hata kama Rais analijua. Kuna michawa fulani katika harakati za kujipendekeza ndio Huwa inachonga mashtaka kama hayo ila nakuhakikishia hakuna mkono wa Rais hapo.CMA mishahara yao inatokea wapi? Kama jibu ni hazina asihangaike.
Ni maagizo toka juu. Hawa watendaji wa chini huwa wanacheza ngoma ya mkubwaKihallisia Hilo suala sidhani hata kama Rais analijua. Kuna michawa fulani katika harakati za kujipendekeza ndio Huwa inachonga mashtaka kama hayo ila nakuhakikishia hakuna mkono wa Rais hapo.
Sasa mkiona watu wamenyamaza au kusapoti kila kitu muwaelewe. Huyu ana bahati kufukuzwa kazi. Yaani kufukuzwa kazi ashukuru Mungu.Mambo ya kustaajabisha sana haya, bora siko huko serikalini maana wangenifukuza mapema sana sababu huwa siwezi unafiki.
Mjulisheni atengue hio hukumu.Kihallisia Hilo suala sidhani hata kama Rais analijua. Kuna michawa fulani katika harakati za kujipendekeza ndio Huwa inachonga mashtaka kama hayo ila nakuhakikishia hakuna mkono wa Rais hapo.
Wanasema hata jamaa wa bandari, kamwagwa kwasababu ya kutokukubaliana na mauza uza ya mkataba wa wavaa kobasi na jamhuri, kaona liwalo na liwe, bora kutemeshwa mzigo kuliko kushiriki ulambaji asali ule!Mambo ya kustaajabisha sana haya, bora siko huko serikalini maana wangenifukuza mapema sana sababu huwa siwezi unafiki.
Ulikuwa wa muda tu. Ameanza kukizoe kiti hivyo utamu umemlevyaAiseee,si tulikubaliana saizi Uhuru umerudi au ilikuwa wa benders?
Akimpata wakili mzuri asiyeogopa vitisho anashinda kesi mapema
CCM wanaturudisha miaka ya 70 kweusi..... eti chama kushika hatamu za kiuongozi !!Mbona tunarudi tuliko toka kwa kasi ya Mwanga?.