jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ukiona wanajilinda sana..ujue wanawaibia.
Hatuna viongozi tuna majambazi.
#MaendeleoHayanaChama
Hatuna viongozi tuna majambazi.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afumwisye weweNchi hii n ngumu Sana jaman
Meneja wa TRC kanda ya dsm yamemkuta huko
Hivi pelosi alivyomchania Trump hotuba yake angekuwa bongo angepigwa shaba
Tozo jamani zinatuumiza viongozi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Huyo mtumishi akate rufaa haraka sana kisha atafute wakili kinara kama kibatala, hiyo kesi itwadhalilisha sana washitaki.Hii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa rasmi,” - Jamila
Hakatizi. Kesi yake haisikilizwi mahakama ya kazi. Inasikilizwa tume ya utumishi. Hakuna mtumishi wa serikali anaenda mahakama ya kazi tena.Akimpata wakili mzuri asiyeogopa vitisho anashinda kesi mapema
Haki inapatikana japo kwa umbali, mahakamani. Sasa serikali ishapiga marufuku watumishi wa umma kwenda mahakamani, akienda ni kwa review kupinga maamuzi ya rais na sio maamuzi ya mamlaka ya nidhamu, sasa hapo kuna kutoboa kweli?Kuna maamuzi ya kisasa na kisheria sana sana atamchelewesha ila atapata haki yake
Ukosefu wa heshima kwa mkuu wako wa kazi (insubordination) lazima uliwe kichwa.Tanzania hatuna tofauti na nchi kama North Korea, Russia, Cuba na China. Bado tuko kule kule kwenye zama. Naona itakuwa ngumu sana kutoka huko mpaka pale CCM itakapotoka madarakani!
Hii itakuwa kesi ya kihistoria kuondokana na huo ukale.Ukosefu wa heshima kwa mkuu wako wa kazi (insubordination) lazima uliwe kichwa.
Anaweza kuwa anapoteza muda huyo aliyefukuzwa kazi. Huwezi kuidharau ofisi za rais kwa maana ya cheo chake halafu uendelee kuwa mtumishi wa serikali unaopokea mshahara wa serikali.Hii itakuwa kesi ya kihistoria kuondokana na huo ukale.
Asante sana wakili PETER KIBATALA kujitolea msaada wa kisheria bure.View attachment 2331593
Asikosolewe yeye ni Mungu, uhuru wa fikra ulindwe. Hao mabosi ni kujipendekeza tuHii ni hatari sana. Ina maana kutoa maoni ni kosa? Inara ya 18 ya katiba JMT inasema vipi?
TAMKO LA TRC
Mkuu wa Kitengo cha Habari na Uhusiano TRC, Jamila Mbarouk alipoulizwa kuhusu suala hilo amesema: “Kwa sasa sijapata taarifa rasmi ya suala hilo, nalifanyia kazi kisha nitatoa taarifa rasmi,” - Jamila
Hata ukimkosoa kifichoni we bring you into light [emoji2732]Hapana mkuu,nilichotaka kusema ni kuwa kwa Afrika boss hakosolewi hadharani.