Afungwa jela kwa kosa la kumlawiti mkewe kama adhabu anapokosea

Ndoa siku hizi ni msala ujao
 
Duh kuna watu makatili sana. Jela inamfaa akafundishwe adabu na wababe zaidi yake
Mkuu huwajui hawa viumbe wanawake.Inawezekana kabisa alimchoka mumewe kwaiyo akamrushia hicho kinyesi.
Hakuna maelezo ya daktari kuthibitisha hilo.
 
Nikikuta umechelewa kupika kifiro
Nikikuta unachat na wanaume wengine kifiro
Nikiacha hela ya nyama nikakuta maharagwe kifiro.
Ukichelewa kujib txt kifiro
Daaaaah!!! Kwa hawa dada zetu wa mjini, atajitahidi kila siku akoseee
Dah
 
Kwa matukio kama haya watu wa 'Kataa Ndoa' wanaeleweka vuzuri sana akilini mwa watu.
Ni mambo ya ajabu kabisa

Wanataka kuidhohofisha Taasisi ya Ndoa kabisa

We unadhani hayo mambo hayafanyiki kwenye Ndoa, vipi Kila Mwanamke akienda kuripoti Polisi, si almost Wanaume wengi watafungwa

Hawa watu ni hovyo kabisa
 
Sio zanzibar hii, lkn basi
 
Kuna njemba ya Lugarawa huko Njombe Ludewa, yeye alimfumua rinda mke wake kwa kosa la kuchelewa kurudi kutoka kwenye harusi kama sikorei.
Uzi uko hapahapa JF.
Hao sio wakinga ni wahamiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…