Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

Kubabake tangu 2014 akiwa na 26 anatafuta mke, sahivi ana 36 na hajapata.

Kwani yuko wapi huyu......
 
Una miaka mingapi??

Unatujuaga tule tuzeee tunaketwa Hosp ,wanatubwaga baaaaa, alafu walotuleta wanapotelea mbali, wanatuacha tunalalamika??
 
Unajikwatua?Do you copy me from the scene of crime!One man down.Back up needed alongside with stretchers!Over!
 
Kuna jamaa etu mmoja . Sijui ilikuaje akaingia dubai.

Kaponda Maisha sana, Kajivuna sana, Hakuwahi kuoa .

Kumbe alikua anajiuza kwa Waarabu wa dubai.. kiufupi kwa sasa Ameharibika vibaya sana, aibu, Kila mtu anamkwepa.
Da

Tupe full story

Mkoa aliozaliwa umri elimu na ilikuwaje kuwaje kabila.
Mlijuaje
Narate story
 
Naomba uje kwenye huu uzi baada ya miaka 20 utoe mrejesho wa mafanikio yako ukilinganisha na hao, rika zako Wachovu.
 
Sasa tufanyaje?
 
Kwahiyo kama sikujiamulia kuzaliwa ktk sayari hii manake sitakiwi kujiamulia kitu chochote? Au point yako ni ipi hasa..?
Kila kitu katika hii dunia huwa kina mipaka (kiasi) tena si kwa kupenda au kutopenda na ndivyo maisha yalivyo.

Hujaona huko Raisi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akilia hadharani kuomba Ke wa nchi hiyo waongeze kuzaa, uliwahi kuwazia hivyo mbali na kutarajia huyo Mwamba angekuwa mpole namna hiyo?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kubabake tangu 2014 akiwa na 26 anatafuta mke, sahivi ana 36 na hajapata.

Kwani yuko wapi huyu......
Kawa SHOGA now au ujaelewa THREAD yake
amepangiwa APARTMENT nzuri anajikwatua balaa anapiga pamba kali anatatuliwa tu Malinda
Hayo sio nayasema Mimi lah ! kaandika mwenyewe soma Tena kwa jicho la tatu thread yake utaelewa
 
Acha umaskini wa mawazo kaka. Omba tu umpate aliyesahihi kwani unaweza kuchelewa na ukampata na hata maisha yakavurugika na anayelala stoo akawa bora kuliko wewe uliyopo kwenye ikulu
 
Mbona kama wewe ndo unateseka sasa?
Kwani wamekwambia wanaishi vibaya au wanataka kwenda hivyo viwanja na kubadili wanawake hovyo.

Ukitulia utagundua mtesekaji ni wewe sio wao.
 
Maisha ya aina hii kwa mwanaume usipokuwa makini hugeuka ya kipweke mno umri unavyosogea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…