Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kubabake tangu 2014 akiwa na 26 anatafuta mke, sahivi ana 36 na hajapata.upuuzi mtaacha lini
kenge blue
Natafuta mke wa kuoa "soon"
Ukitaka kuona maisha ni magumu, hayaendi mbele wala hayapangiki, basi fanya makosa ktk kumpata mwenza (mke/mume). Haya si maneno yangu bali wahenga waliyanena haya. Nakuja jamvini hapa kwa nia thabiti ya kumpata mwenza wangu. Kwa mdada yeyote mwenye sifa zifuatazo ani-PM. -awe kabila lolote...www.jamiiforums.com
Kwani yuko wapi huyu......