Kwahiyo wewe unategemea watoto ama mkeo ndiyo awe mfariji na faraja kwako uzeeni?Maisha ya aina hii kwa mwanaume usipokuwa makini hugeuka ya kipweke mno umri unavyosogea.
Itabidi nije na uzi Aisee 🤔Da
Tupe full story
Mkoa aliozaliwa umri elimu na ilikuwaje kuwaje kabila.
Mlijuaje
Narate story
Nani kakudanganya kuwa watoto ni assets hadi uharakie kuwazaa? Haya ni mawazo ya kijinga kweli kweli.Unachelewesha watoto shule, baadaye wanaanza kukuita babu 😀 unastaafu mtoto wa kwanza yupo la nne😀 utaelewa tu umuhimu wa nguvu ya ujana 😀 fainali uzeeni
nipende kukuambia ukiombwa ndogo ww huchomoi kwa muandiko huu hakuna mtu hapa keshatatuliwaAcha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Kuna siku utabanwa na ngiri ukiwa kwenye hiyo apartment yako usiku ndio utajua hujui.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nikiona Mwanaume yoyote Anaoa huwa si tu Namdharau ila pia namuona ni kama vila hana Akili Timamu. No Kuoa!!!!Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Japo siku hizi fedha imerahisisha access ya kupata K direct au indirect ila haindoi umuhimu wa ndoa.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Kwahiyo, kwa mtazamo wako, ndoa ndo zimewafanya hayo? Hakuna ambao hawajaowa bado wanakaa kwa shemeji?Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Katika wote kwenye uzi huu, wewe ndiyo umenena👏. The rest ni pumba tu wamenena.Ukienda kwa nchi za wenzetu waliostaarabika mapema utakuta watu wanaoa wanaachana , wanaoa wanaachana, mwisho wa siku wanajikatia tamaa ya kuoa , Mindset ya waafrika wengi ni kwmba ukioa au ukiolewa at age ya 20 to 30's huyo mwanamke au mwanaume ndio utazeeka nae , huu ni mtazamo uliokwisha ku'expire na ndio mtazamo unaofanya vijana wengi kuogopa ndoa , Mtu akioa au kuolewa afanye hivyo, furaha na mapenzi yakiisha ndoa ivunjwe mambo ya kuvumiliana kwa kigezo cha Strong family na cha kupata wa kuzeeka nae ni kujitoa kafara... uwe mzee au kijana unastahili kupata mapenzi yanayoleta furaha na sio uvumilivu unaondoa furaha , ndio maana mnakufa mapema.
Anaetaka kuoa aoe asietaka aache , kwenye kuitafuta furaha hakuna kanuni ya aina moja.
Kila kitu katika hii dunia huwa kina mipaka (kiasi) tena si kwa kupenda au kutopenda na ndivyo maisha yalivyo.
Hujaona huko Raisi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akilia hadharani kuomba Ke wa nchi hiyo waongeze kuzaa, uliwahi kuwazia hivyo mbali na kutarajia huyo Mwamba angekuwa mpole namna hiyo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Point yako ni ipi? Watu waoe au wazae? Unajua unaweza ukazaa na usioe??Kila kitu katika hii dunia huwa kina mipaka (kiasi) tena si kwa kupenda au kutopenda na ndivyo maisha yalivyo.
Hujaona huko Raisi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akilia hadharani kuomba Ke wa nchi hiyo waongeze kuzaa, uliwahi kuwazia hivyo mbali na kutarajia huyo Mwamba angekuwa mpole namna hiyo?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Mkuu unachofanya ni sawa na kuuma meno kwenye ugomvi, sasa si bora ukimbie? Ametoa hoja, nawe pinga hoja yake kwa hoja, na siyo kutukana. Be a man!nipende kukuambia ukiombwa ndogo ww huchomoi kwa muandiko huu hakuna mtu hapa keshatatuliwa
Unajidanganya tu, hakuna raha hapo.Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.
Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Wakala wa shetani kazini!
mkuu unazinua hoja au unaweka ujinga wako hadharani..... huo muandiko wakusisimua kabisaMkuu unachofanya ni sawa na kuuma meno kwenye ugomvi, sasa si bora ukimbie? Ametoa hoja, nawe pinga hoja yake kwa hoja, na siyo kutukana. Be a man!