Age-mates wangu waliojiingiza kwenye ndoa wamechoka, wanatia huruma. Mimi ambaye bado "napuyanga" naponda raha tu

Maisha ya aina hii kwa mwanaume usipokuwa makini hugeuka ya kipweke mno umri unavyosogea.
Kwahiyo wewe unategemea watoto ama mkeo ndiyo awe mfariji na faraja kwako uzeeni?

Unajua mipango ya Mungu, vipi wakifa wote ukabaki peke yako uzeeni?

Ndiyo maana maanadiko yanasema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Mtegemee Mungu, acha mawazo ya laana ya kumtegemea mwanadamu.
 
Unachelewesha watoto shule, baadaye wanaanza kukuita babu 😀 unastaafu mtoto wa kwanza yupo la nne😀 utaelewa tu umuhimu wa nguvu ya ujana 😀 fainali uzeeni
Nani kakudanganya kuwa watoto ni assets hadi uharakie kuwazaa? Haya ni mawazo ya kijinga kweli kweli.

Kama unadhani watoto ni collateral kajaribu kukopea pesa benki.
 
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.

Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.

Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.

Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Kuna siku utabanwa na ngiri ukiwa kwenye hiyo apartment yako usiku ndio utajua hujui.
 
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.

Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.

Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.

Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Nikiona Mwanaume yoyote Anaoa huwa si tu Namdharau ila pia namuona ni kama vila hana Akili Timamu. No Kuoa!!!!
 
Hakuna mbegu inayozaa pasipo kuzikwa ardhini ni suala la muda watakupita ukiwa umesimama ukishikilia sabuni.Ndoa ni muhimu sana kwa mtu mwenye kutaka kuwa na bright future.Changamoto hazikosekani katika maisha haya
 
Subiri upate JIPU KATIKATI YA YA ILE MILIMA MIWILI KARIBU NA JICHO LA TATU najua utaenda hosp private sawa ila kuna wakati utahitaji kukandwa utaelewa tu lakini yoote tisa mtu anaekataa ndoa utoto unamsumbua
 
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.

Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.

Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.

Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Japo siku hizi fedha imerahisisha access ya kupata K direct au indirect ila haindoi umuhimu wa ndoa.

Hamna kitu kibaya kama upweke.
 
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.

Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.

Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.

Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Kwahiyo, kwa mtazamo wako, ndoa ndo zimewafanya hayo? Hakuna ambao hawajaowa bado wanakaa kwa shemeji?
 
Ukienda kwa nchi za wenzetu waliostaarabika mapema utakuta watu wanaoa wanaachana , wanaoa wanaachana, mwisho wa siku wanajikatia tamaa ya kuoa , Mindset ya waafrika wengi ni kwmba ukioa au ukiolewa at age ya 20 to 30's huyo mwanamke au mwanaume ndio utazeeka nae , huu ni mtazamo uliokwisha ku'expire na ndio mtazamo unaofanya vijana wengi kuogopa ndoa , Mtu akioa au kuolewa afanye hivyo, furaha na mapenzi yakiisha ndoa ivunjwe mambo ya kuvumiliana kwa kigezo cha Strong family na cha kupata wa kuzeeka nae ni kujitoa kafara... uwe mzee au kijana unastahili kupata mapenzi yanayoleta furaha na sio uvumilivu unaondoa furaha , ndio maana mnakufa mapema.
Anaetaka kuoa aoe asietaka aache , kwenye kuitafuta furaha hakuna kanuni ya aina moja.
Katika wote kwenye uzi huu, wewe ndiyo umenena👏. The rest ni pumba tu wamenena.
 
Kila kitu katika hii dunia huwa kina mipaka (kiasi) tena si kwa kupenda au kutopenda na ndivyo maisha yalivyo.

Hujaona huko Raisi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akilia hadharani kuomba Ke wa nchi hiyo waongeze kuzaa, uliwahi kuwazia hivyo mbali na kutarajia huyo Mwamba angekuwa mpole namna hiyo?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.

Point yako ni ipi? Watu waoe au wazae? Unajua unaweza ukazaa na usioe??
 
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.

Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.

Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila kizuizi wala hofu. Nanenepa kwa furaha na raha.

Acha kuiga mtindo wa maisha wa Babu na bibi zako, unaoa ili ugundue nini?
Unajidanganya tu, hakuna raha hapo.

Raha ya maisha uwe na Familia njema na mwenza pembeni anaekusubiri ukijuwa kuwa yeye ni stara yako na wewe ni stara yake.
 
Attachments

  • Screenshot_20240707-194540-1.jpg
    Screenshot_20240707-194540-1.jpg
    85.6 KB · Views: 4
Back
Top Bottom