- Thread starter
- #101
Kwahiyo wewe unategemea watoto ama mkeo ndiyo awe mfariji na faraja kwako uzeeni?Maisha ya aina hii kwa mwanaume usipokuwa makini hugeuka ya kipweke mno umri unavyosogea.
Unajua mipango ya Mungu, vipi wakifa wote ukabaki peke yako uzeeni?
Ndiyo maana maanadiko yanasema amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu. Mtegemee Mungu, acha mawazo ya laana ya kumtegemea mwanadamu.