Unafanya kilakitu wapi wewe! Wakati sikuhi house girl ndo anafanya kilakituKabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.
Haaaa kumbeIpo mbona majizzo amefanya hvyo nadhani
Huoni Lulu Yuko busy kusaka pesa
Huna mamlaka ya kumpangia.Asioe akae mwenyewe tu anaoa ili iweje
Acheni janja janja Mali nilizochuma kabla hatujaoana zinakuhusu Nini?Kabisa, unajua ule mgawanyo wa mali, uliwekwa sababu mke ndiyo mfanya kila kitu kwa mume. Huduma zote za nyumbani. Ila sasa imeshakuwa nongwa, wanaona mwanamke anafaidi. Bora kila mtu abaki na chake tu.
Hivyo yaniKwa vyovyote huyo malaya alikuwa amepanga ampige jamaa tukio ateke mali amuache msela na kilio cha mbwa koko.
Mambo ya gugo tiransileiti hayo man[emoji3064]Kwa hivyo nilijiambia yeyote ambaye nimeolewa naye, wanasaini prenup , hataki hakuna ndoa." Alisema Jackson
ameolewa naye ?
Kwanini Mali zake kabla hamjajuana UNAZITAMANI?Asioe akae mwenyewe tu anaoa ili iweje
Unazungumzia Mali au Kazi za nyumbani?Ndo kilichobaki....tena wasitegemee kufuliwa hata boksa
dah,hadi huruma
wawe makiniNaona unazidi kuwatisha nakuwaaminisha watu ili wasioe.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kabla ya kulalaPre nup ndo nini
😂😂😂upo wewe?Unazungumzia Mali au Kazi za nyumbani?
#YNWA
Ni makubaliano ya kisheria , aina ya mkataba ambao hutumika kwa wanandoa kabla ya kufunga ndoa kuridhia kutokuwapo na muingiliano wa mali katika mahusiano yao.Pre nup ndo nini
Sasa anaoa ili agawane mali?! Wanawake wa siku hizi sijui mpoje, utadhani majini wanyonya damu a.k.a Vampires?! Me mnanikera.Asioe akae mwenyewe tu anaoa ili iweje